Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,735
- 76,363
upo peke yako honey,japo hua naku cheat na pisi moja hivi

Nimenuna!ukinifungulia PM ntabaki na ww![]()
Nimeitika mkuu....
Ole wako umtaje Shunie.No body is mentioning me does that mean nobody knows me
Or I'm on the last edge
Kuna ka girl nataka kuka mention Ila naogopa
Somebody help me![]()
Nimenuna!
samahan Kwa kukusumbua mkuu...😁Nimeitika mkuu....
Ohhhh.....samahan Kwa kukusumbua mkuu...
"Just to disturb"
Missing you sana baby girl upo?Thank you love😘
SawaahLazima nijali...nasubiri
Kijana hivi vita unayo takes kuianza ni kubwa sana..kuwa makin![]()




daaah aseeeh hatareeeh sana lolDea hiyo picha umeenda kuichukua huko ngerengere morogoro au..Sawaah
Mwandiko wake una vi shorts vingi lol,uwihh,sawa, Eti eeh,Kijana hivi vita unayo takes kuianza ni kubwa sana..kuwa makin![]()