Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Umekariri diet lazima mtu ale makabichi!
Mimi wali nyama vijiko 2 na uji wa mtoto nitapungua
Diet sio kujinyima ni kubadili vyakula. Ukijinyima sana kuna siku utashikwa na tamaa utaanza kubugia vitu.

Na sio lazima makabichi, kuna vitu vingi vitamu visivyonenepesha mfano samaki, mayai nk.
 
Diet sio kujinyima ni kubadili vyakula. Ukijinyima sana kuna siku utashikwa na tamaa utaanza kubugia vitu.

Na sio lazima makabichi, kuna vitu vingi vitamu visivyonenepesha mfano samaki, mayai nk.
Mimi nisipokula ugali naona sijashiba, bora nile hata matonge 2
Diet bila mpunga haiwezekani.
 
Mmh! Kama diet ndo hio basi mimi siitaki, usiku napika pilau na juice yangu ya embe utanitaka! Ila sili sana vijiko vichache tu😂
Vitu vitamu unavitengea siku moja kwenye wiki unavila tu. Usipokula vizuri hata ukipiga mazoezi hutoboi...
 
Back
Top Bottom