min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,871
- 128,897
Kabisa , kweli tena🤗🤣🤣🤣🤣🤣,,Bora unywe mbege pekee.
Kabisa , kweli tena🤗🤣🤣🤣🤣🤣,,Bora unywe mbege pekee.
Haya Wacha nifue Hadi nikome.Kabisa , kweli tena🤗
nimeitikia Wito Ras
Heri ya mwaka mpya rasinimeitikia Wito Ras
Asante sana Heri ya mwaka mpya nawe RasHeri ya mwaka mpya rasi
Bashirima unanichafua jamani!Nasomaga michepuko yako mpaka natetemeka na mbege ina mwagika mashirima wangu
Ya kigamboni?Nakupeleka Italy 😎
Mhmmm sawa mashirima , ila Huwa nakuona lakini🤣Bashirima unanichafua jamani!
Mimi niko singo🤣🤣
Karibu umepotea...Amen, shukrani…
Mwaka mpya mwema kwako pia 🎉😁
Bashirima itakuwa unanifananisha🤣Mhmmm sawa mashirima , ila Huwa nakuona lakini🤣
Hukuwa makini tu ila me nipo nimejaa 😁Karibu umepotea...
Mimi Sio fala mashimaBashirima itakuwa unanifananisha🤣
Nimepoteza umakini, vizuri kama upo, mambo mengi... Natumae upo same same kama siku zote...Hukuwa makini tu ila me nipo nimejaa 😁