Mic test, umepata notification?Mic testing ! testing !
Kumbe ndio maana wote ni arsenal πππSisi ni acc ya mtu mmoja kaka π
NimepataMic test, umepata notification?
Mimi si shabiki mpira kaka, mpira ni dhambi πKumbe ndio maana wote ni arsenal πππ
Goli Moja tena la faulo limefanya ukatae timu yako hebu acha mambo yako πππMimi si shabiki mpira kaka, mpira ni dhambi π
Mmeshaunganishwa, kaeni kwa kutulia sasa!Zimekuja mbili ya kwangu na ya dosho12 sijui tumeunganishwa kwenye system π
Unajimention mwenyewe, au siyo?
Safi, ngoja nikaanzishe fujo kijiweni sasa!Nimepata
kinachoniuma ni kuwa ile mechi tulifaa kushinda maana liva hakuna kitu paleGoli Moja tena la faulo limefanya ukatae timu yako hebu acha mambo yako πππ
Mliyamiliki majogoo ila mkachinjwa nyie π π πkinachoniuma ni kuwa ile mechi tulifaa kushinda maana liva hakuna kitu pale
Naona mpaka ujumbe wake wa pm nausoma hapa πππMmeshaunganishwa, kaeni kwa kutulia sasa!