Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Harmful dosho12 ebu niitie manzi yoyote mkali humu
Screenshot_20250904-220842.png
 
Beira Boy nipo ndugu yangu, nimeona tusiharibu uzi wa watu kule, kwa kusalimiana 😅 ndiyo maana nimeshindwa kukujibu pale. Majukumu ya hapa na pale tu yalinibana, ila nipo.
Asante sana kwa uelewa dunia hii inahitaji watu kama wewe

Pole sana kwa majukumu japo kuwa ni lazima kutimiza wajibu na majukumu ni utu
 
Back
Top Bottom