Tulia basi nikutongoze...Nipunguze au niongeze!? Nipe huo muongozo. Weekend itaisha hio. Halafu baridi π
Bila kunitaja Mimi Lovely Emmy bado hujataja ma handsomeNomadix
Mkaka mzuri jfππΉ
Sababu lukuki unazo acha kujifanya mrembo wangu..πCertified Hater sina sababu mkuu π
Long time sana mtangaNipo Mtanga na umemisiwa
Njoo tulale π€©Angel Nylon uwe na usiku mwema...
Dah!! Nitakusumbua hutolala... Nitakunesesha...Njoo tulale π€©
mpatia bwana hicho anachotaka asije akufunga na huu uzi ππ
Aje afunge kama yeye mwanaume kweli π, asinitishe!mpatia bwana hicho anachotaka asije akufunga na huu uzi ππ
Niambie mpendwa!
Kumbe na wewe unashirikiana na staff wenzangu wenye vijiba vya roho π πUle uzi mm ndo nimeufunga niliona Binti wa zamani anapoelekea atataja hadi mshahara wangu