Salaam Mkuu
SawaNdio najua na namfahamu
Niambie baMtu una mpya?
maMtu nipo hapa natafuta helaaa π₯΄π₯΄Niambie baMtu una mpya?
Sawa mtafutie hela Aviola, ndiyo majukumu yako hayo.maMtu nipo hapa natafuta helaaa π₯΄π₯΄View attachment 3399748
Sawa maMtu π π... ila kama moyo unakuwa mzitoo tena kuhonga hela inapatikana kwa majashoo hiviSawa mtafutie hela Aviola, ndiyo majukumu yako hayo.
Sasa utafanyaje na umedata kwenye miuno ya feni ya mrembo Aviola π€£ π€£Sawa maMtu π π... ila kama moyo unakuwa mzitoo tena kuhonga hela inapatikana kwa majashoo hivi
ππ leo nalala lala, nimeamka ninerudi kulala, nimeamka tena hapa nasikia usingizi narudi kulala ... niokoea kibundaa miuno haitajilishi π€£π€£Sasa utafanyaje na umedata kwenye miuno ya feni ya mrembo Aviola π€£ π€£
Naona umeandika ukiwa na usingizi maana havieleweki, hebu lala kwanza π€£ π€£ π€£ππ leo nalala lala, nimeamka ninerudi kulala, nimeamka tena hapa nasikia usingizi narudi kulala ... niokoea kibundaa miuno haitajilishi π€£π€£
ππ maMtu. leo sielewi sio kawaida kuwa na mausingiziNaona umeandika ukiwa na usingizi maana havieleweki, hebu lala kwanza π€£ π€£ π€£
Lala tu baMtu π΄π€ππ maMtu. leo sielewi sio kawaida kuwa na mausingizi
bye badae maMtu π«‘Lala tu baMtu π΄π€
My lovely momy..
Nikikuita huji, nikikutafuta uje home huonekani.My lovely momy..
I wass miss you so much