Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,911
- 82,213
Jamani π πππNipo fresh
Mkeo hajambo?
Kuna mtu unamvizia? Ndio maana unajifanya upo singleJamani π πππ
Sio kweli π π mtu wenyewe ninae mvizia ananizungusha zungusha tu kanigomea kuja kigamboni πKuna mtu unamvizia? Ndio maana unajifanya upo single
Nauli umetuma?Sio kweli π π mtu wenyewe ninae mvizia ananizungusha zungusha tu kanigomea kuja kigamboni π
Nimempa Kila kitu yeye tu miyeyusho na yupo humu humu ila baadae kaniambia anakuja ndio nasubiria meseji yake hapa kwa hamu mno π πNauli umetuma?
Congo dust umeshapaka?Nimempa Kila kitu yeye tu miyeyusho na yupo humu humu ila baadae kaniambia anakuja ndio nasubiria meseji yake hapa kwa hamu mno π π
Hello Cassano,
Asante sana.Nimekumisi kweli kweli π
Sahv pm zangu sizioniNjoo PM tuyajenge π
Vipi kulikuwa na usalama lakini?Asante sana.
Nami pia nimewamiss
πππCongo dust umeshapaka?
Hello π Mambo πHello Cassano,
hako ka emoji kamekaa kimchongo sana.!πHello π Mambo π
Usalama upo mwingi tu.Vipi kulikuwa na usalama lakini?
Hiyo ni furaha yanguUsalama upo mwingi tu.
Wala usijali.