Vincenzo Jr hi friend..
Nataka au nina mpango wa kuja kukuteka
Fresh upo gudiππVincenzo Jr hi friend..
Nipo gudi gudi rafiki...sijui weyeFresh upo gudiππ
Mbona umemsahau Kijana masikiniπ π
Umetumiss eenhee?
π₯°Angel Nylon sema chochote...
Yeah, Kijana Masikini dosho12 Marco Seth na leo dada binti wa kugawa likes kama njugu.Mbona umemsahau Kijana masikiniπ π
Sana, sana.Umetumiss eenhee?
Na min me
Mimi pia niko free leo, baadaye nitashusha kitu heavyweight, kuna jambo limenikaa kooni vibaya mno π !Sana, sana.
Baadaye fungua uzi wa mahaba leo niko free kidogo.
min -me Dr am 4 real PhD Chick_tz bila kuwasahau mabondia watakaozichapa jumapili hii Intelligent businessman na Half american.Na min me
Usisahau kunitag.Mimi pia niko free leo, baadaye nitashusha kitu heavyweight, kuna jambo limenikaa kooni vibaya mno π !
Safi sana hapo list imetimia
min -me atakuwa idara ya vinywaji halafu Nomadix mtangazaji ππmin -me Dr am 4 real PhD Chick_tz bila kuwasahau mabondia watakaozichapa jumapili hii Intelligent businessman na Half american.
Harmful atakuwa refa katika pambano Hilo.
Ndege kwa kupenda umbea sasaπππUsisahau kunitag.