Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,908
- 82,181
nshazikwa kitambo sana 🤣😂😂😂😂 Mazishi lini??
karibu,,ila liwe la garama😌😌😂😂😂😂 Basi nakuja kukuwekea mashada
Hutaki au wivu😂😂😂😂 Marehemu anachagua ua la gharama?? Khaaa!!
unanchokoza sio😂😂😂😂😂😂😂😂 Weee kuna mtu namkabidhi aku flash kwanza BICHWA KOMWE -
Duuuh😂😁😎😎😎 Niliona kule anasema nimejiita mwenyewe nilicheka sana eti anaomba msamaha 😁😂😂😁😁😁 eti atakuwa mwema
Nini tena?Acha umbea na majungu utakuja ugongwe na nyoka za mininga
nitaamka jikutukaneee wewe 😂😂Nakuletea la afu tatu 😹😹😹
Ushaninyongea hilo jani la bob??Nini tena?
Kama kawa mkuuDuuuh
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 HahahahaAcha umbea na majungu utakuja ugongwe na nyoka za mininga
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Acha bwana😂😁😎😎😎 Niliona kule anasema nimejiita mwenyewe nilicheka sana eti anaomba msamaha 😁😂😂😁😁😁 eti atakuwa mwema
ila sio ya dzilingi dzidatu🤣🤣🤣😂😂😂 ua ni ua kikubwa upewe maua yako.
afu nakuona tu,, unataman unionje mwenyewe,, weuuuweeeeee achs kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂 Yaisheee..
Et nae sa hvi anajikuta wa moto