Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,800
Uongo 😹😹😹Wala hata, mm tangu zamani naelewaga viumbe weusi
Komaa pamebaki padogo sana ujichukulie kombe
Uongo 😹😹😹Wala hata, mm tangu zamani naelewaga viumbe weusi
Marhabaa mdogo anguShikamoo odo
😁😁😁Akikubali namuonesha PM zenuUongo 😹😹😹
Komaa pamebaki padogo sana ujichukulie kombe
Kwanza hata hanifaham mweeeeeSema lazima useme hivyo si unamlia timing 😹😹
Unajitahidi kuiomba
staki mimi,,wacha ashinde🙌🏾🙌🏾😂😂😂😹😹😹 Maneno ya shombo kwa yule kiumbe yanakatwa yote.!! Yule ni ndimu mkata shombo oohhh
No thank youKaribu sana kariakoo
Alafu si umeona kule.... Nime kutagHahahaaaa 😂😂😂😂😂 i am here to oppose the motion which states that education is better than money. THANK YOU TIMEKEEPER 😁😁
Cc: Poor Brain
Mpuuzi weye 😂😂😂Nipo hapa.... 😂😂😂😂
jinga😂😂Alafu si umeona kule.... Nime kutag
😂😁 Wasalimie huko Dodoma vipi baridi lakini au Kuna joto 😂😁Adabu umeiacha wapi? Nitakubamiza live live.
we kwa kila mtu unanibwaga tu😂😂😂Si ndo mnafahamiana hapo hapo mkionana 😜
Kwema dada yangu upo gudi ?Hi kaka Vin
nna heavy kizunguzungu, naogopa kuangukw😂Utaki kuishi juu ya ghorofa Odo 😂😁
Sawa endelea kumpenda 😂😂😂😂😂😂😂😂 Sema napendaga shombo zake, humkuti kachangamana na wanawake anapeana udaku.!! Yeye ni spana tyuu.!!
Wanaume michele michele waige kwake kina viksi kingo
Asante sana dogo😂😂😂😁😁Polee Odo
Nashindwaga kuelewa na kuzoea hili sijui ni baridi au ni upepo ila upepo wa Dodoma ni hatari unanyanyua Hadi mchanga unakuchapa nao 😪😂😁 Wasalimie huko Dodoma vipi baridi lakini au Kuna joto 😂😁