Labella
JF-Expert Member
- Jun 26, 2024
- 1,949
- 4,800
Sema lazima useme hivyo si unamlia timing 😹😹Mada mtambuka hii kwa upande wangu kura nawapa black beauty
Unajitahidi kuiomba
Sema lazima useme hivyo si unamlia timing 😹😹Mada mtambuka hii kwa upande wangu kura nawapa black beauty
basi ukimalizana nae njoo kwangu tuendelee,,huu uchonganishi sasa🤣😂😂😂 Kwann ulimu ignore??
Mimi nilijua wewe kichwa panzi humshindwi kumchachua.!! Kumbe na wewe umemshindwa 😹😹
Lethergo twende kwa Mwamposa utolewe majini kila mdada anakublock utajioa mwenyewe shauri yako.!
Na kwako pia madam. Siku ikawe njema kwako 😎Have good day sir
huku Madagascar ni usiku bwanNa kwako pia madam. Siku ikawe njema kwako 😎
Huyo jamaa ndimu sana, namuona anavyowakaanga 😂😂😂basi ukimalizana nae njoo kwangu tuendelee,,huu uchonganishi sasa🤣
🤣🤣🤣Nna hasira za haraka mimi hujui tu,,so nkaona wacha nikimbieHuyo jamaa ndimu sana, namuona anavyowakaanga 😂😂😂
Mpaka na wewe hutaki hata kumuona umemblock basi kweli ni kichefuchefu.
Toka lini? 😹😹😹🤣🤣🤣Nna hasira za haraka mimi hujui tu,,so nkaona wacha nikimbie
iyo ni kwako,,ila sipendi kujibizana humu kabisa 😂😂🙌🏾Toka lini? 😹😹😹
Wewe sema huyo jamaa wa sayari nyingine humuwezi ni kichefuchefu haswaah.!!
Akikomalia jambo lake humshindi, anaweza kukuaminisha gari ni treni na ukakubali kumpa ushindi wa mezani.!!
Tuungane tumchachue hawezi kutushinda wifi 😹😹😹iyo ni kwako,,ila sipendi kujibizana humu kabisa 😂😂🙌🏾
Dada dada daaaaaadaaaaaa🙌🏾😂😂😂😂wacha achukue kombe,, hupenda mitusi mikubwa mikubwa tuTuungane tumchachue hawezi kutushinda wifi 😹😹😹
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka mpk machozi wifi.Dada dada daaaaaadaaaaaa🙌🏾😂😂😂😂wacha achukue kombe,, hupenda mitusi mikubwa mikubwa tu
Wala hata, mm tangu zamani naelewaga viumbe weusiSema lazima useme hivyo si unamlia timing 😹😹
Unajitahidi kuiomba
sitaki kula ban shoga😂😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾nna maneno ya shombo🤣🤣🤣🤣🤣 Nimecheka mpk machozi wifi.
Emu mtoe kabatini tulale naye kiulalo ulalo, sako kwa bako.
Hatuwezi kushindwa na mtu km yule, hatujui watu wa Southern Highland vizuri.!!
Kwanza kabila letu kwa ubishi tunachukua tuzo
😂😂😂🙌🏾 usisahau na kunpa locationWw tu hata Leo usiku nasign vyeti
Ila ww😁😁😁 imagine uitwe buziNakuona na buzi lako la kkoo 😹😹
Poa hujamboMambo 😎
Msalimie mmeo uyo cc Poor Brain 😂😂😂😂😂Hahahaaaa 😂😂😂😂😂 i am here to oppose the motion which states that education is better than money. THANK YOU TIMEKEEPER 😁😁
Cc: Poor Brain