Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Na mkwanja ganiii vicoba vinatusaidia halafu nilimuona shangazi Joannah sehemu akiii siku akipigwa sitamgombelezea
🤣🤣🤣🤣 Jamani mimi navimba najua nyie mpooo ndugu zanguu....ule Uzi Kuna mtu alinifanya nishindwe kunyamaza bwana🤣🤣🤣
 
Huku tuhangaike namna gani tunamrudisha kwake Songwe huko marehemu maana alitufia Dar.

Huku nije tena kuhangaika na watu waliokosa kazi tena hata siwajui
Hawaji direct kishujaa,wanakuja na id ngeni.
Kwakweli kuna muda unapotezea, mi naamini mtu aliyejipanga kugombana haji na id nyingine..!! Mi nikiona jungu nimepigwa linanihusu namkwoti hapo hapo mwenzangu 😂😂😂😂
 
😂😂😂😂 wapi uko??? Yule bana siku hizi kachachuka mwenyewe namshangaa!!
Anatafuta wamchachue niingilie nipewe ban hana lolote..!! Ananijua kuvumilia siwezi nikiona anagombana na mtu nanunua ugomvi
🤣🤣🤣🤣Naringaaa najua Nina watu kama yanga!!!!!Kuna shoga yako ananivurugaga kichwa ndio maana nikamchagua Depal
 
🤣🤣🤣🤣Naringaaa najua Nina watu kama yanga!!!!!Kuna shoga yako ananivurugaga kichwa ndio maana nikamchagua Depal
Nani anatuvurugia my wetu 😂😂😂 tumfanye kidogo mpk aje na matipo 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom