Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,167
Pole sana mamyWaje nawakaribisha,kuanzia next month nipo free.
Nilikuwa na hekaheka za msiba
Ndugu yetu niliyekuwa nakesha naye hospital alikata kamba..lile wenge.
Mambo yakawa mengi,muda mchache.