Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,235
- 86,946
😂😂😂😂 Udugu wangu nampenda halafu mi nilivyo yakiisha yameisha..!!Udugu apige rivasi tu hakuna namna
Labda yy awe na kinyongo tu.
😂😂😂😂 Udugu wangu nampenda halafu mi nilivyo yakiisha yameisha..!!Udugu apige rivasi tu hakuna namna
No. Nilipewa ban ndefu na hii.. nikafungua ile 🤣 nikawa namchatisha chatsha. Sio kama ye akija na nyingine ni mitusi tu asbh mpk usku
Huku acha tu. Nilikutana pm na mtongozo wa id mbili zinamilikiwa na mtu 1 🤣🤣🤣
Niligundua kwenye picha aliyoshare 😆😆😆 nikamtonya. Akanambia chill. Nimemeza hadi leo yan
Lakini hatukumaliza second half😂😂😂😂 Udugu wangu nampenda halafu mi nilivyo yakiisha yameisha..!!
Labda yy awe na kinyongo tu.
😂😂😂😂 Yule naye kivuruge hajui kutunza siri kabisaaa..!! Nitafutieni dawa ya kumfanya asiwe anatoa siri zangu.🤣🤣🤣🤣 niliona shem anaongelea kuhusu aifoni 12
🤣🤣🤣🤣🤣 dee katishaaaHee
Hebu elezea kidogo mdogo wetu
Kule selfika niliona mtu kavaa raba yako juzi
Nikapita kimya, nisije wasanua mod
😂😂😂😂 Second half si walimalizia love na intell afu tatu mpk uzi ukafungwa kupisha uchunguzi wa wasumbufu wote wapewe banLakini hatukumaliza second half
Sijapenda
😂😂😂😂 Second half si walimalizia love na intell afu tatu mpk uzi ukafungwa kupisha uchunguzi wa wasumbufu wote wapewe ban
Ile raba hadi mod waliiona🤣🤣🤣🤣🤣 dee katishaaa
Sijui alijisahau km watu mguu wanaujua
Na wewe ukakazia🤣🤣🤣😂😂😂😂 Yule naye kivuruge hajui kutunza siri kabisaaa..!! Nitafutieni dawa ya kumfanya asiwe anatoa siri zangu.
Na alivyo mbishi na king’ang’anizi sasa, nilisema iPhone lkn sikutaja toleo lipi yy kadakia 12 Pro 🤣🤣🤣🤣
Appreciates my maa😍😘
🤣🤣🤣🤣 khaaaa!!!Ni mechi mbili tofauti hizo
Yao Europa, yenu EPL kabisa
🤣🤣🤣🤣 Mi naingia tu nakutana na ban ila raba niliiona nikasema mhmm!! Huyu ni yy kabisaaaIle raba hadi mod waliiona
😂😂😂😂 Sasa nitafanyaje ningekataa angeleta screenshot ya ushahidi Kantry hanaga kona konaNa wewe ukakazia🤣🤣🤣
Basi hakikisha unatimiza ahadi🤣🤣🤣.😂😂😂😂 Sasa nitafanyaje ningekataa angeleta screenshot ya ushahidi Kantry hanaga kona kona
Sasa nitafanyaje ningekataa angeleta screenshot ya ushahidi Kantry hanaga kona kona
Basi hakikisha unatimiza ahadi.

Sijapenda🤣🤣🤣🤣 khaaaa!!!
Wala hata🤣🤣🤣🤣🤣 dee katishaaa
Sijui alijisahau km watu mguu wanaujua
😂😂😂😂 Yule naye kivuruge hajui kutunza siri kabisaaa..!! Nitafutieni dawa ya kumfanya asiwe anatoa siri zangu.
Na alivyo mbishi na king’ang’anizi sasa, nilisema iPhone lkn sikutaja toleo lipi yy kadakia 12 Pro 🤣🤣🤣🤣
Na mpk sahii yupo 😂😂 simfutiHee
Hebu elezea kidogo mdogo wetu
Kule selfika niliona mtu kavaa raba yako juzi
Nikapita kimya, nisije wasanua mod
😂😂😂Lamomy mdogo wangu na kwanini simu aifoni yaani uliwaza nini![]()