๐๐๐๐๐
That's why I sip my alcohol
I don't wanna reason bad things no more
I don't wanna go back to where I dey before
Make nobody stress me, no disturb me jo jo jooo
Mimi nina usingiziโฆ hata saa 1 me nalala,,
Wakimaliza wanaanza kuwanyoosha na ban [emoji1787]
Na wanapenda kweli mods kufatilia mpambano halafu baadae wanawalamba ban ๐๐๐๐[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mpaka mods wanaamua kuwa pembeni kuwa wafatiliaji
Lakini kwanini ashughulike na visivyo husika nae [emoji1787][emoji1787]
Selfika ManzeseBasi makapuku ni selfika part 2๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Na wanapenda kweli mods kufatilia mpambano halafu baadae wanawalamba ban [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee nani asiyependa umbea hapa tz?? Magu mwenyewe alikuwa anafatilia shilawadu na simu alikuwa anawapigia kina Soudy Brown yuko live anafatilia [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Selfika Manzese
Makapuku Ununio
[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwenye upande wa kuwa popo sikukaribii hata kidogo ๐คฃ๐๐
Imagine nilikuwa naimba hako kawimbo wakati nakuandikia hapo.!!
Unakumbuka zile enzi nakesha usiku kucha halafu asubuhi naingia kwenye meeting..?
๐คฃ๐คฃ๐คฃ wallah ila jina halisadiki yaliyomoSelfika Manzese
Makapuku Ununio
๐๐๐
Pm ukitaka uishi kwa amani usiwaruhusu wenye id za kiume wakuzoee, wale ni wajinga mnaweza mkaongea vzr mwanzoni, baadae akakutongoza ukamkataa, anakuja na id nyingine kukuchamba na screenshot juu ๐๐๐คฃ๐คฃYaani ukijichanganya PM imekula kwako, ashukuriwe Mungu anayeniongoza kuhusu kujibu PM๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ kabisa!Pm ukitaka uishi kwa amani usiwaruhusu wenye id za kiume wakuzoee, wale ni wajinga mnaweza mkaongea vzr mwanzoni, baadae akakutongoza ukamkataa, anakuja na id nyingine kukuchamba na screenshot juu ๐๐๐คฃ๐คฃ
Na km ulimuomba afu tatu umekwishaaaa mahi diha ๐คฃ
kwa kweli ๐๐ ila nyie mlitisha. Haikutegemewa. Ila mliacha somo kubwa ๐๐๐๐ mm nililielewa sana lile somoNa mi ndio napenda hivi!! Kwenye vagi ukija njoo na id yako iliyozoeleka inaleta raha. Mnachachuana mpk kila mmoja akitoka hapo anachekea pembeni ๐๐๐๐
๐๐๐๐ Tatizo mimi bana sipendi unafiki, napenda mtu akitaka kunizingua aje front na mu id wake OGYaani unakuta mpambano mkali halafu huelewi umeanzia wapi. Ila mpambano wa Lamomy na udugu wake nilihisi utatokea tangu siku ile kwenye uzi wa smart Ila nikakaa kimya๐๐๐
Selfika ni ya kuiuza tugawane hela ๐คฃ๐คฃ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sanaaa
Zawadi yake utampa๐คฃ๐คฃ๐คฃ?๐๐๐๐ Tatizo mimi bana sipendi unafiki, napenda mtu akitaka kunizingua aje front na mu id wake OG
Hii ya kuibuka na nyingine ndio sipendi na nikijua nakupasha upashike
๐๐๐๐ Sehemu yenye fake idโs usitegemee kupata rafiki wa kweli..!!kwa kweli ๐๐ ila nyie mlitisha. Haikutegemewa. Ila mliacha somo kubwa ๐๐๐๐ mm nililielewa sana lile somo