Mention someone without any reason just to disturb them

Mention someone without any reason just to disturb them

Mtu alifungua matipo akavamia makapuku kujifanya anawajua watu kwa stori za kuambiwa ambazo hata haelewi ni uongo au vp 🤣🤣
Hebu Ngoja nisome Makupuku leo maana sijawahi hata kuifungua kwasababu ya hiyo title yake🤣🤣🤣🤣!
 
Pm mimi wanaume wanaonitongoza siwapi kipaumbele, nawajua nikijimix na mdomo wangu watanileta nginja nginja 😂😂😂😂
Yaani ukijichanganya PM imekula kwako, ashukuriwe Mungu anayeniongoza kuhusu kujibu PM🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom