Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,569
- 95,203
Hiyo hapo Mayday namsaidia kukuwekea na mi naisikiliza kibarazani hapa 😂😂😂😂🤣🤣 wakati unanifuta niwekee na ka wimbo kokote ka Fally Ipupa nimalize nako kilio cha kwikwi
Hiyo hapo Mayday namsaidia kukuwekea na mi naisikiliza kibarazani hapa 😂😂😂😂🤣🤣 wakati unanifuta niwekee na ka wimbo kokote ka Fally Ipupa nimalize nako kilio cha kwikwi
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo itakuwa uongo sis wala sikuahidi
[emoji1787][emoji1787] wakati unanifuta niwekee na ka wimbo kokote ka Fally Ipupa nimalize nako kilio cha kwikwi
Hiyo hapo Mayday namsaidia kukuwekea na mi naisikiliza kibarazani hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂[emoji1787][emoji1787] nakuelewa huweziiii
Ww na antonnia ndio sababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Na mi nashangaa nimekuta notification ya ban, hata wasingejisumbua mods mana nilishaamua kuachana nao kitambo
Sema utapoa km mkojo wa ngedere, ule uzi ulitakiwa uchangamshwe uwe heya heya, hiya hiya full mparara [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mabakuli kakufanyaje tena maana naskia ndio post ikapigwa ban[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wacha watupe ban wabaki wenye uzi wao kina binti masozy.
Sie wengine wapambe nuksi tukae kando[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂 Akhu na udugu wangu tulishamalizana yakaisha, huyo ni love na maba tatu mzukaWw na antonnia ndio sababu[emoji23]
Yani wewe pilika huachi nishakuambukiza 😂😂😂Mabakuli kakufanyaje tena maana naskia ndio post ikapigwa ban
🥰😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘😘
Zimeisha sasa ushachelewa, si unajua wabongo nyimbo moja biscuit 4 mpk ufikishe kusikiliza nyimbo 3 na habari imekwishaaaa..!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asus 😍😍😍 tajiri LamomyHiyo hapo Mayday namsaidia kukuwekea na mi naisikiliza kibarazani hapa 😂😂😂😂
Niko poa mdogo angu, shida gani hiyo tena??da mkubwa uko poa? nashida na wew
Aaaa wapi PC milioni 2 hiyooo 😍 tajiri dada yangu Lamomy hapo bado na ile range Rover yako ya blue ninayo pishana nayo kule posta 😍😍😍Mpana ww kumbe ulikuwa una zoom jina la laptop yangu 😂😂😂😂
Utajiri nautoa wapi Chale njaa tupu sister ako hapa 🤣🤣🤣
😂😂😂 Umeanza na ww kunipamba sasa, hapo kwenye range sasa!! Mwenzio nadandia mwendokasi mpk wamenizoeaAaaa wapi PC milioni 2 hiyooo 😍 tajiri dada yangu Lamomy hapo bado na ile range Rover yako ya blue ninayo pishana nayo kule posta 😍😍😍
Tajiri Lamomy😂😂😂 Umeanza na ww kunipamba sasa, hapo kwenye range sasa!! Mwenzio nadandia mwendokasi mpk wamenizoea
Hiyo Asus X515 ya kawaida mbona wala usiogope
Ila wewe🤣🤣🤣. Mimi nilikuwa sijui chochoteWifi VAR yangu imekukamata 😂😂😂😂
Ila mecheka aiseee!! Hivi wamekupiga ban na ww??