Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ebu fanya chapkitu kinakita sio? Ngoja nifanye maarifa
![]()
Ebu fanya chapkitu kinakita sio? Ngoja nifanye maarifa
![]()
Ila bora utulie mdogo wangu hivi nani alikuharibu kukupeleka selfika ujue ulikuwa haupogo hiviiWifi VAR yangu imekukamata
Ila mecheka aiseee!! Hivi wamekupiga ban na ww??

Mi nipo humu kufurahi tyuu!!
Ndiomana sina adui wa kudumu, naweza tukachambana baadae nikakukuta sehemu ina hekaheka umenichekesha nacheka vzr…!!
Sinaga bifu na fake id’s ambazo hata sijui zinafananaje
Napenda hekaheka na umbea kuliko kula




huna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumuNimelia kwa niaba statement ya mwisho 😆😆huna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu
Nimelia kwa niaba statement ya mwisho![]()
ukimaliza kulia nije nikufute machozi
😍😍😍😘😘😘😘😘Ndio narudi home sasa kutoka kazini
😂😂😂😂 Dada umeona eee!! Yani alaumiwe coca aliyenipeleka selfika..Ila bora utulie mdogo wangu hivi nani alikuharibu kukupeleka selfika ujue ulikuwa haupogo hivii![]()
😂😂😂😂 Sis acha basihuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu
🤣😂😁😁Jipya lipo 😂🤣😁😂😂😂😂 una jipya? Au yale yale ya enzi za Magufuli?
🤣😂😁😂😂😂😂 Dada umeona eee!! Yani alaumiwe coca aliyenipeleka selfika..
Ss hivi nimeacha mwaya manjegeka naokoka rasmi
Dada umeona eee!! Yani alaumiwe coca aliyenipeleka selfika..
Ss hivi nimeacha mwaya manjegeka naokoka rasmi
ila me nakuombea sana uweze
😂😂😂 tatizo nikitulia wananitafuta maneno mpk naanza ugomviSidhani kama utaweza mdogo wanguila me nakuombea sana uweze
😂😂😂nimeacha mdogo wangu
tatizo nikitulia wananitafuta maneno mpk naanza ugomvi
na vile huwezi kukaa kimya sasa😂😂😂 hapo itakuwa uongo sis wala sikuahidiWakikutafuta maneno we kaa kimya tuna vile huwezi kukaa kimya sasa
🤣🤣 wakati unanifuta niwekee na ka wimbo kokote ka Fally Ipupa nimalize nako kilio cha kwikwiukimaliza kulia nije nikufute machozi
Nimwagie sasa🤣😂😁😁Jipya lipo 😂🤣😁
Simba SC wamepigwa kamba mbili😂😂😂🤣😁😂🤣😁😁Nimwagie sasa