ππππ binti whaaaaaaaaaatttt!!!!!
Aiseee!! Kuna mmoja kashaharibu huko kaenda na id mpya halafu kajiselfie na picha yake ya zamani nimechekaβ¦. Wananzengo wamemshtukia ππππ
Hivi kuna watu kumbe hawawezi kuishi bila uzi wa selfika?? Mi wamenipiga ban ya kuchangia ila manjegeka nayaona vzrβ¦.