Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Kuna mdau alisema hauko JF tena bhana
Mideko kama mada inavyosema, mention someone without any reason just to disturb...
Sina sababu ya kukumention basi tu...
View attachment 2781607
Na umefanana nae huyo...
Matusi hayooNa umefanana nae huyo...
Napenda matusi...Matusi hayoo
Asanteee Smart911Kama mada invyosema Mideko njoo morning jogging... At the coco beach...
View attachment 2782477
View attachment 2782478
Hajasema bado
Na atasema ni suala la muda….
Maneno ya chugga man yatatimia nipo hapa![]()




unayaweza uduguuuu.Tena wa mafunguuu,Mshamba hupendi kuniona na amani
Me mbona mweusi, labda nianze kupaka mkorogo





Nimecheka mpk machozi khaaaaaaa!!
Hamna chugga man anapenda kukuzingua mdogo wake!! Mnajuana nyie wote wa chugga
Halafu yule sio jamaa yangu, usinitafutie ugomvi na kyuti




kuna nn kwaniii?Hili umesema uongo bana, sijawahi kukuita shoga. Wewe nakuitaga mmbea
Mashoga ni wale wenzio.





😂😂😂😂 sijui kaenda kudarukia wapi haonekani siku hizunayaweza uduguuuu.
Yani mpaka waseme 😂😂😂Hadi wasemee![]()