Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Ukifumaniwa hakuna rangi utaacha kuonaNafumaniwajee sasa jomoniiii?![]()
Unatafuta maneno??Lamomy swahiba wako Mwachiluwi kapotelea wapi
hahaaUnatafuta maneno??
Namjulia wapi me huyo mtu!!
Muulize mr mitraaako ndo mwenye taarifa zake 🤣🤣🤣
Hajasema badohahaa
hajaridhika na jinsia🤣
Coca anasema wapo wengi kweli, na wanajuanaHajasema bado
Na atasema ni suala la muda….
Maneno ya chugga man yatatimia nipo hapa![]()

Watasema 🤣🤣🤣Coca anasema wapo wengi kweli, na wanajuana![]()
Vijana wanapenda bure wamejilegeza wamelegezwa kweliWatasema![]()

Mwambie mdogo ako mshamba akutag kwenye uzi wake ukacheke 🤣🤣Vijana wanapenda bure wamejilegeza wamelegezwa kweli![]()
Ni wapi? Unahusu nn?Mwambie mdogo ako mshamba akutag kwenye uzi wake ukacheke![]()
Ndo ujaribu sasa ili ufumaniweWee sema kweliii![]()
WaachaTunapindua meza