Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,130
- 41,803
Acha roho mbayaNaenda kuchekea kitchen [emoji23]
Nilitaka kushangaa maana najua una upendo toka moyoni๐๐คญHaimtoshi hiyo ebu muongezee yani aende Dubs alafu asipitie hata kwa ZARA achukue slipper ya dollar 100 [emoji6]
๐ ๐ ๐ Km jina lakeFifi wa moto ๐
Acha roho mbaya
Mbona mi najua huna hiyo roho[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nitakugawia ,shauri yako
Subiri kwanzaNa mimi nikupe account??
Si ndioooMi sina neno nasubiri ujazwe mshiko unigawie hata ya thoda tu!! [emoji23][emoji23]
Nilitaka kushangaa maana najua una upendo toka moyoni[emoji7][emoji2960]
[emoji28][emoji28][emoji28]Km jina lake
Subiri kwanza
Si nitakugawia kondoo wangu au [emoji28]
Si ndiooo
Najua kondoo wangu hunaga baya [emoji28]
Yaani sie wa vya kko jomoniii ๐คฃKumbe una mrembo wa kuvaa brands!! Basi atakuwa yuko vizuri!! Sisi tushazoea midosho ya tandika.
๐คฃ๐คฃ๐คฃ mwanafunzi Yuko vzr ss hata mafungu ya kumi ameshajua cocastic unsona lknNiliona anataka kukimbia tukakosa fungu la kumi [emoji23]
๐คฃ๐คฃ๐คฃKhaaa[emoji23][emoji23][emoji23] mbna cna?
Hata mi nimeliona Hilo๐Mimi sina roho mbaya mbona mama mtumishi, hapa nakazia upate na ya shopping [emoji877]
Yaani sie wa vya kko jomoniii [emoji1787]
Hata mi nimeliona Hilo[emoji28]
Heheee wapiiiMama mtumishi wewe wa mabrand bana, vya kkoo na tandika vya kwetu kina Lamomy hapa [emoji23]