KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,291
Kuwa mchafu ni hobi, kama unasugua kwapa na mapumbu vizuri kwa brashi, kama unaoga asubuhi na jioni, mwanaume huwezi nuka.
Wow.....let me stick to Nivea.
Wow.....let me stick to Nivea.
Sijawahi kutumia powder spray sijui kwanini, binafsi napenda LYNX AFRICA is the best kwa Jasho la Dar harufu nzuri24/7 afu bei poa.
Nivea wanyo. Zipo brands nyingi tu.Hivi nivea hawana hii kitu kweli!
Niliwahi kununua spray ya nivea nikispray inakua kama powder,
Nikajua ime expire