Wanaoshukiwa kufanya biashara hiyo ndo wanapewa vyeo ndani ya chama tawala. CCM ikiendelea kuwa madarakani by 2025 kutakuwa hakuna tembo tena Tanzania
Utumbo wa kuku huu. Isinge kuwa Dr Harrison Mwakyembe, tungefahamu hili.Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.
Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.
... airport security laxity has been in the limelight for the past few weeks now, how credible this incident could it be? I remain sceptical as to why a 'professional smuggler' would be so daring but equally dumb as try and dodgy his way out past at this heightened times.
Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.
Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.
Wanaoshukiwa kufanya biashara hiyo ndo wanapewa vyeo ndani ya chama tawala. CCM ikiendelea kuwa madarakani by 2025 kutakuwa hakuna tembo tena Tanzania
Uhalifu ufanywa na sisi wananchi wenyewe, aidha kwa kushiriki kuufanya au kushirikiana na wahalifu kufanikisha uhalifu. Jambo la msingi sio kulaumu kwanini uhalifu unafanywa, ila la msingi ni kwamba tunalo jeshi imara na madhubuti lenye uwezo wa kudhibiti vitendo vya uhalifu nchini.
Nichukue fursa hii kuwapa pongezi za dhati askari polisi waliogundua utoroshwaji wa nyara za serikali, ni jambo la kupongezwa sana.
Na huyo askari aliyekamata aliajiriwa na Serikali ya chadema, au sio?