Meninah afunga ndoa tena

Nasikia huyo peter alikua anamkong'oli manundu mtoto mzuri menina. Binti akaona isiwe shida waachane kimya kama walivyofunga ndoa kimya!
Yaan ukiingia insta ya menina utaona kabisa ni binti wa dini sana halafu anajiheshimu sio kama miaka ya zamani alivokua anaimba. Inshort ni wife material kwa sasa,jamaa kachezea kizuri mwenzie kakiwahi.
Sioni vizuri ulichoandika, umesema ni bint mshika dini na wife material?
 
Bongo movie wasanii wengi wao ni malay tu wanatafuta wanaume
Wanaume nao wanatafuta wanawake wawe vingasti

Ova
 
Nasikia huyo peter alikua anamkong'oli manundu mtoto mzuri menina. Binti akaona isiwe shida waachane kimya kama walivyofunga ndoa kimya!
Yaan ukiingia insta ya menina utaona kabisa ni binti wa dini sana halafu anajiheshimu sio kama miaka ya zamani alivokua anaimba. Inshort ni wife material kwa sasa,jamaa kachezea kizuri mwenzie kakiwahi.
Kweli.????
 
Back
Top Bottom