Duh....hyu bwana wa zamani alikuwa mzuri kweli
napenda sana wanaume weusi hyo wa sasa sio flavour kabisa
hata hyo ndoa haitodumu
Vyura wanaharibu ndoa nyingi sana
Muimbaji wa ‘Kakopi Kapesti’ na ‘Shaghala Baghala’, Meninah Atick, amefunga ndoa kwa mara ya pili.
ndoa ya mwendokasiVyura wanaharibu ndoa nyingi sana
Imekuwaje mtoto wa prof. Muhongo atumie ubini wa haule?.
Hiyo inamaanisha kuwa ndoa yake na Peter Haule, mtoto wa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo
Basi sawa.Ndivyo ilivyokuja kutoka kwenye source, Bongo 5.
Karithi jina la babuImekuwaje mtoto wa prof. Muhongo atumie ubini wa haule?.
Au mleta mada umekosea maandishi?!.
"Haule" ni ubini maarufu wa kiukoo huko kwetu ruvuma.Karithi jina la babu
Kwa mama"Haule" ni ubini maarufu wa kiukoo huko kwetu ruvuma.
prof.muhongo ni mwenyeji wa musoma.huyo babu ni wa mzaa mama yake au mzaa baba yake?
Kazi IPO wallahkatema bablish kwa karanga
wewe mweupe nini?
wewe angalia picha tu katika hao wawili yupi mume kweli?