Mengine haya huumiza, Tusaidiane...

Daaa umenikumbusha hiyo ajali ya Korogwe girls niliishuhudia kwa macho yangu 2012 mwezi wa pili,nilienda kwenye sherehe ya mdogo wake rafiki yangu.Nilikuwa nina mwaka mmoja kwenye ajira yangu ya ualimu hapa Korogwe mjini.Hiyo ajali sitaisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…