ilboru1995
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,329
- 269
Mengi ana conflict of interest achana naye!
Muhongo akitoka kwenye baraza jipya la mawaziri nakupa mke.naisi baraza lipya tunaweza kumkosa prof muhongo, coz meng ana influence kubwa sana kwa JK.
Muhongo hyo wizara mwsho kuongoza ni 2015 kaa na Watanzania vizuri.
Watanzania ni wakuuza juice tu?
Wewe unafanyia nipashe au redio one tunajua anakupa ugari huwezi kumpinga endelea na mzee wako.Kutokana na upeo wako mdogo wakufikiri ndio unaona hvyo ila kwa wale tunao mfahamu Mengi tunajua anatetea maslahi ya watanzania juu ya umilikaji wa rasilimali za taifa.
Hiyo conflict of interest inayo attract interest za wananchi waliowengi inaubaya gani? wewe kama wewe Kasheshe hupendelei wananchi wamiliki Rasilimali zao Dhahabu na Gesi?...Mengi ana conflict of interest achana naye!
Mkuu wewe kama wewe unaridhia wageni kumililiki rasilimali zetu kaskazini hadi kusini? Kwataarifa yako hazina kubwa ya duniani iko baharini! Mtadhibiti vipi ukwapuaji wakati sehemu yote ya bahari inamilikiwa na nchi kubwa duniani zenye nguvu za kijeshi na kiteknolojia?...Wewe unafanyia nipashe au redio one tunajua anakupa ugari huwezi kumpinga endelea na mzee wako.
Itakuwa ngumu sana JK kumtema huyo EHM wa USA... Alipelekwa SA kunolewa na sasa anabweka kwa niaba ya watu wa marekani ...Hataki kusikia kuwa watanzania wanatia mguu kwenye madini na nishati! Wachina walipewa ile mikataba kwa bahati mbaya sana, tumshukuru aliedakwa kule China ...Mbali sana hiyo 2015. Jk akipiga reshuffle, jamaa atapigwa sub tu!!
Mkuu mjepo, jaribu kujiongeza japo kidogo tu, au wewe ni robot? wameformat brain yako?... nikweli kuwa huoni hatari kwa rasilimali zetu kumilikiwa na wageni?Mengi asidanganye watu hajapata kitu kwenye gesi ndiyo maana anahangaika sana atupishe atuache.
Hiyo conflict of interest inayo attract interest za wananchi waliowengi inaubaya gani? wewe kama wewe Kasheshe hupendelei wananchi wamiliki Rasilimali zao Dhahabu na Gesi?...
Mbali sana hiyo 2015. Jk akipiga reshuffle, jamaa atapigwa sub tu!!
Muhongo akitoka kwenye baraza jipya la mawaziri nakupa mke.
Msomi yeyote mwenye kujiona msomi hawezi kuambiwa jambo la kipuuzi akalikubali kisa kasema Mzungu! Huyo atakuwa ZUZU tu...Kwanini wasomi wengi ndo wahujumu uchumi katka nchi za kiafrika?... Elimu yao inamanufaa gani kama haiwezi kuinufaisha jamii yake?Mengi ni mzee mzalendo sana. Muhongo ni msomi ambaye ana kiburi cha ufahamu. He has intellectual arrogance.