East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Namuona Mengi hapo anaabudu kama Muislam na si Mkristo tena!!!
Kwani Mengi ni MKRISTO?
Namuona Mengi hapo anaabudu kama Muislam na si Mkristo tena!!!
Jamani siasa si mchezo namwona mengi ndani ya kanzu mzee kajikunja huyo,, haki Tanzania ya sasa si kama ya zamani mashekhe makanisani na maaskofu ndani ya misikiti chezea siasa wewe...
Ila huyu mzee anazidi kutakata. Kweli gari bovu linavutwa na gari zima. Hongera shosti kwa kumtunza shemeji.
Mengi alisema Wislamu ndio wenye haki ya Kuchinja wanyama na akawataka Wakristo wasichinje!!!!!!!!!!!!!
Mengi alisema Wislamu ndio wenye haki ya Kuchinja wanyama na akawataka Wakristo wasichinje!!!!!!!!!!!!!
Ni kweli hakuna mahali popote palipoandikwa christian slaughter method waislam ndio wachinjaji, ie Jatka slaughter metho, halal method, na shehitta method. Zote hizi mchinjaji ni mwislam.... mimi ni mkristo na nakubaliana na hili.
Ni kweli hakuna mahali popote palipoandikwa christian slaughter method waislam ndio wachinjaji, ie Jatka slaughter metho, halal method, na shehitta method. Zote hizi mchinjaji ni mwislam.... mimi ni mkristo na nakubaliana na hili.
Namuona Mengi hapo anaabudu kama Muislam na si Mkristo tena!!!
Mzee Mengi nae ni mwana siasa?
Aiseee!kumbe makafir tunaruhusiwa kwenda msikitini,lahaulaaaa!mi nikajua mwiko kafir kusogelea msikiti
Hapo siyo Msikitini.Kafir mwenye daresalam tatu ruksa!
ulichoandika ni upumbavu tuu! Swala la kuchinja,na kutokuchinja au kunyonga au kula mzoga ni imani tu ya mtu. Hata juzi kama ulisikia BBC kuna jamaa huko afrika ya kati alimkamata muislam akamchoma moto akamla! Huwezi ukamlazimisha mtu afuate imani asiyoiamini. Ni swala la kuheshimiana tu... Kama we ni muislam ukiona nakula mzoga niheshimu tuu... Na kama wewe unachinja ki imani ni wewe... Hivyo nitakuheshimu tuu.
Kwani akichinja mkristo iyo nyama haiivi au?? Sababu hasa ni ipi?em nijuzen wataalam wa mambo