Mengi ndani ya kanzu na bhagharashia

Mengi ndani ya kanzu na bhagharashia

kabiko

Senior Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
135
Reaction score
19
Jamani siasa si mchezo namwona mengi ndani ya kanzu mzee kajikunja huyo,, haki Tanzania ya sasa si kama ya zamani mashekhe makanisani na maaskofu ndani ya misikiti chezea siasa wewe...
 
weka picha
 
Kanzu ni vazi kama mavazi mengine binafsi sioni cha ajabu hata kidogo
 
Mbatia ni mmoja wa viongozi wenye akili sana siku zote utakapomsikiliza lazima utajifunza kitu, bila ya kujali itikadi ya chama chako, hongera sana mbatia this country needs smart leaders like you.
 
Ni vizuri kwa maridhiano sion haja ya kutofautisna kwani mungu akuziumba dini
 
Cc kama unaoa unapewa kanzu na bang..kama ishara ya translation from childhood to adulthood. Nami ninayo na leo nimeitinga na mm cyo mwana wa siasa. Coni tatzo
 
DSC09799.JPG
Kanzu + baraghashia bila ndevu kama za OBL au SS Hamadi wala haipendezi
 
Jamani siasa si mchezo namwona mengi ndani ya kanzu mzee kajikunja huyo,, haki Tanzania ya sasa si kama ya zamani mashekhe makanisani na maaskofu ndani ya misikiti chezea siasa wewe...

Mzee Mengi nae ni mwana siasa?
 
Mzee Mengi nae ni mwana siasa?

ni mfanyabiashara ambaye anacheza karata yake kwa umakini kutegemea na status quo ya siasa/wanasiasa.chezea kulekea 2015 weyeee.....za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Back
Top Bottom