Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,496
- 272,167
Mengi anaponzwa na tamaa zake na ubinafsi uliopitiliza.
Anataka watanzania tuumuunge mkono kila akiwa na ugomvi wake binafsi.
Suala la vitalu vya gesi Prof. Muhongo alishalitolea ufafanuzi wa kina kabisa, kuwa hakuna Mtanzania aliyenyimwa kumiliki vitalu, ila wafuate utaratibu wa kununua hisa TPDC.
Mengi ni mnafiki sana!
Sijawahi kuona serikali yoyote makini ambayo ni adui kwa wawekezaji wazawa kama serikali ya Tanzania
Mzee Mengi ametukanwa na kudhalilishwa sana na baadhi ya watu wenye dhamana serikalini huku wakilinda kuwanyenyekea wageni.Haiwezekani hata kidogo
Pia ikifikia hatua Mwenyekiti wa Bunge la katiba ambaye ni waziri anatishia ITV kwa kutekeleza wajibu wake ujue kuna serious hostility dhidi ya mmiliki wake
kwa taarifa yako huyo mzee akidhurika kuna watu watadhurika ndani ya nusu saa tu ! Dawa ya moto ni moto !
Kwa mara ya kwanza ITV walionesha wakati wao walidaka matangazo ya TBC na kuyarusha kwa umma!!Wanamtisha kwa kuwa kwa mara ya kwanza bunge lieonyeshwa kupitia itv mhongo kuthibitisha ni muongo? Mbona mim nilionyesha live kupitia ramli? Waje wantishe basi cha moto wakione
Mengi anaponzwa na tamaa zake na ubinafsi uliopitiliza.
Anataka watanzania tuumuunge mkono kila akiwa na ugomvi wake binafsi.
Suala la vitalu vya gesi Prof. Muhongo alishalitolea ufafanuzi wa kina kabisa, kuwa hakuna Mtanzania aliyenyimwa kumiliki vitalu, ila wafuate utaratibu wa kununua hisa TPDC.
Mengi ni mnafiki sana!
Acha ubaguzi wa rangi, dunia sasa ni kijiji, ndio maana hata Marekani rais wake ni mweusi.
Sethi ni Mzaliwa wa Iringa, sio mgeni wa Nchi hii!
Mengi anapenda kutumia wananchi kuonyesha anaonewa katika mambo yanayo mnuaisha yeye binafsi hata kama akiwa kinyume cha taratibu na anafanya makusudiKwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Reginald Mengi anasema maisha yake yako hatarini.
Hii ni mara ya nne mzee wetu huyu kudai maisha yake yako hatarini. Mara ya kwanza wakati akiwa katika mzozo na wamiliki wa DTV, mara ya pili wakati wa Sakata la ufisadi na mara ya tatu wakati alipogombana na Waziri kijana ambaye hakumtaja.
Serikali impe ulinzi mzee wetu.
Sethi ni Mzaliwa wa Iringa, sio mgeni wa Nchi hii!
Waziri mwenye dhamana anapodai kuwa wawekezaji wa Tanzania hawana uwezo wa kuwekeza kwenye gesi hivyo wawekeze kwenye juice ,Matunda na Maandazi unalichukuliaje?
Sijawahi kuona mchagaa mp.u.m.bavu kama MENGIMengi anapenda kutumia wananchi kuonyesha anaonewa katika mambo yanayo mnuaisha yeye binafsi hata kama akiwa kinyume cha taratibu na anafanya makusudi
Sijawahi kuona serikali yoyote makini ambayo ni adui kwa wawekezaji wazawa kama serikali ya Tanzania
Mzee Mengi ametukanwa na kudhalilishwa sana na baadhi ya watu wenye dhamana serikalini huku wakilinda kuwanyenyekea wageni.Haiwezekani hata kidogo
Pia ikifikia hatua Mwenyekiti wa Bunge la katiba ambaye ni waziri anatishia ITV kwa kutekeleza wajibu wake ujue kuna serious hostility dhidi ya mmiliki wake
Ni MENGI mkuu, siyo MENGI, mzee mshenzi kweliMbowe anataka kutudalalia hata sisi watanzania wenzie kwenye gas?
Huyu Mchaga katili sana!
Lakini hana kashifa ya ufisadi kama huyu wa kwenu.
Nasikia Ni mhehe a.k.a mnyalukolo
Sijawahi kuona mchagaa mp.u.m.bavu kama MENGI