Waheshimiwa wana wa Nchi! sisi wakazi wa Nzega tumekuwa kwa muda mrefu tukisubiri mamilioni toka kwa bwana Mengi kama ambavyo tumekuwa tukiahidiwa mara kwa mara, tulipopata taarifa za ujio wa Bwana mengi Nzega tukaamini kuwa kwa kiasi fulani tutaweza kupambana na umaskini tukaanza kutekeleza yafuatayo kwa maelekezo ya Mama doto ambaye ndiye mratibu wetu wa VICOBA Nzega. mchango wa mapokezi ya ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi kwa kila mwana kikundi 20,000/= kiingilio cha uanachama 12,000/= sare kanga 6000/=,tshirts 6000/= hivyo kila mjumbe amejitolea Tshs 44,000/=
kwa kiasi cha milioni 100 alizoahidi kuzitoa Mengi kwa vikundi 80 ambapo kila kikundi kina wanachama wasiopungua 20 mgao wa fedha hizo za VIKOBA hautazidi 48, kwa kila mwana kikundi, mmetuumiza mno! ninapo sema mno nina maana ya mno kingine ambacho ni kibaya sana kikundi ambacho chaweza kunufaika kidogo ni kile cha mama Selelii ambacho kutokana na kuwa karibu na Mh Mb chaweza kupata fedha isiyopungua M30 je ni kweli kwamba tuamini ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi nzega madhumuni yake makuu ni kupigana na umasikini au kutuletea umaskini? jambo lingine ambalo inawezekana lisiwe na maana sana kwa mchango huu ni pale nilipomsikia Nauye Jnr na mheshimiwa wa Simanjiro wakisema bashe wa Nzega asichaguliwe eti kwa kuwa ana uraia wa kuandikishwa,Nape usiende hivyo tuna kutegemea sana katika mabo mengi hasa ya Uvccm unapoanza kuhubiri Siasa za ubaguzi huo hata baba yako huko aliko nadhani anatoa machozi sidhani kama katika uhai wake Mzee nauye aliwahi kuwakana kina Amir Jamar,Shamim Khan,Salim A Salim na wengine wengi tumekuwa na A. Kinana kwenye NEC kwa miongo kadhaa. pole sana Nape yawezekana matamshi yale yalikutoka ili uendelee kupata mkate wako w kila siku kwa RM maana wahenga walisema maradhi yote ugua kuchacha usiombe!
Hiyo 48 ulimaanisha 48,000/= ? Nimejaribu kupiga hesabu za haraka haraka ili niweze kuchangia hoja, lakini nilipoona majibu yako yana kasoro, nimeamua niishie tu kukokotoa bila kuchangia zaidi.... kwa vikundi 80 ambapo kila kikundi kina wanachama wasiopungua 20 mgao wa fedha hizo za VIKOBA hautazidi 48, ...
Waheshimiwa wana wa Nchi! sisi wakazi wa Nzega tumekuwa kwa muda mrefu tukisubiri mamilioni toka kwa bwana Mengi kama ambavyo tumekuwa tukiahidiwa mara kwa mara, tulipopata taarifa za ujio wa Bwana mengi Nzega tukaamini kuwa kwa kiasi fulani tutaweza kupambana na umaskini tukaanza kutekeleza yafuatayo kwa maelekezo ya Mama doto ambaye ndiye mratibu wetu wa VICOBA Nzega. mchango wa mapokezi ya ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi kwa kila mwana kikundi 20,000/= kiingilio cha uanachama 12,000/= sare kanga 6000/=,tshirts 6000/= hivyo kila mjumbe amejitolea Tshs 44,000/=
kwa kiasi cha milioni 100 alizoahidi kuzitoa Mengi kwa vikundi 80 ambapo kila kikundi kina wanachama wasiopungua 20 mgao wa fedha hizo za VIKOBA hautazidi 48, kwa kila mwana kikundi, mmetuumiza mno! ninapo sema mno nina maana ya mno kingine ambacho ni kibaya sana kikundi ambacho chaweza kunufaika kidogo ni kile cha mama Selelii ambacho kutokana na kuwa karibu na Mh Mb chaweza kupata fedha isiyopungua M30 je ni kweli kwamba tuamini ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi nzega madhumuni yake makuu ni kupigana na umasikini au kutuletea umaskini? jambo lingine ambalo inawezekana lisiwe na maana sana kwa mchango huu ni pale nilipomsikia Nauye Jnr na mheshimiwa wa Simanjiro wakisema bashe wa Nzega asichaguliwe eti kwa kuwa ana uraia wa kuandikishwa,Nape usiende hivyo tuna kutegemea sana katika mabo mengi hasa ya Uvccm unapoanza kuhubiri Siasa za ubaguzi huo hata baba yako huko aliko nadhani anatoa machozi sidhani kama katika uhai wake Mzee nauye aliwahi kuwakana kina Amir Jamar,Shamim Khan,Salim A Salim na wengine wengi tumekuwa na A. Kinana kwenye NEC kwa miongo kadhaa. pole sana Nape yawezekana matamshi yale yalikutoka ili uendelee kupata mkate wako w kila siku kwa RM maana wahenga walisema maradhi yote ugua kuchacha usiombe!
tatizo lako linaanzia hapoWaheshimiwa wana wa Nchi! sisi wakazi wa Nzega...
Pamoja na juhudi zote za kuondoa post zihusuzo makamanda wa ufisadi nitaendelea kuandika hadi nitakapo thibitishiwa kuwa JF sio jukwaa huru lakini kama JF ni jukwaa huru ambalo kila mtu naweza wa kutoa mawazo yake kwa uhuru hili halitanikwaza nikiwa naelekea kwenye post 200!
Peleka hayo hapo juu kwenye complaints......!
Baada ya heka heka za Nzega taarifa nilizo nazo za uhakika ni kuwa Bwana regina Mengi na wale wanaojiita makamanda wa ufisadi wanajiandaa kuja tabora mjini ili kutoa wanachoita misaada yao kwa wananchi ili wajikwamue na umaskini.
Ndo nani tena?
maandalizi yote kwa jimbo la Tabora yanasimamiwa kificho sana na Mh Aziza Sleyum Aly na vikao vinafanyika katika Club ya VOT ( Rufita Club) inayomilikiwa na Al haji Aden Ismail Rage(japo ni Alhaj anayeuza Pombe) Mh aziza ambaye hata katika mkutano wa Nzega wa mengi alichangia Tshs 1,000,000/= kwa kutuma mwakilishi ili asijulikane na viongozi wengine wa CCM ngazi ya mkoa ingawa nadhani kwa bahati mbaya Mh selelii alitangaza mchango wa Aziza na ule wa Spika ambaye naye alituma katibu wake bwana Paul ambaye alitoa salaamu za uwakilishi. kinachofuata sasa makamanda hao wa ufisadi wanajiandaa kuja tabora soon baada ya mfungo kwa lengo la kuja kumsaidia Mh Aziza Ally kwa jimbo la tabora mjini. once again karibuni makamanda wa ufiadi Tabora kwa matarajio kuwa kwa mara ya kwanza nchi itatikisika kwani hatutakubali upumbavu wa mengi na wenzake tabora si kama mikoa mingine ambayo watu wametukana na kuondoka alama hapa lazima waache hata soksi kama siom vipara vyao
No wonder why mods huwa wanado the needful!
Pamoja na juhudi zote za kuondoa post zihusuzo makamanda wa ufisadi nitaendelea kuandika hadi nitakapo thibitishiwa kuwa JF sio jukwaa huru lakini kama JF ni jukwaa huru ambalo kila mtu naweza wa kutoa mawazo yake kwa uhuru hili halitanikwaza nikiwa naelekea kwenye post 200! Baada ya heka heka za Nzega taarifa nilizo nazo za uhakika ni kuwa Bwana regina Mengi na wale wanaojiita makamanda wa ufisadi wanajiandaa kuja tabora mjini ili kutoa wanachoita misaada yao kwa wananchi ili wajikwamue na umaskini. maandalizi yote kwa jimbo la Tabora yanasimamiwa kificho sana na Mh Aziza Sleyum Aly na vikao vinafanyika katika Club ya VOT ( Rufita Club) inayomilikiwa na Al haji Aden Ismail Rage(japo ni Alhaj anayeuza Pombe) Mh aziza ambaye hata katika mkutano wa Nzega wa mengi alichangia Tshs 1,000,000/= kwa kutuma mwakilishi ili asijulikane na viongozi wengine wa CCM ngazi ya mkoa ingawa nadhani kwa bahati mbaya Mh selelii alitangaza mchango wa Aziza na ule wa Spika ambaye naye alituma katibu wake bwana Paul ambaye alitoa salaamu za uwakilishi. kinachofuata sasa makamanda hao wa ufisadi wanajiandaa kuja tabora soon baada ya mfungo kwa lengo la kuja kumsaidia Mh Aziza Ally kwa jimbo la tabora mjini. once again karibuni makamanda wa ufiadi Tabora kwa matarajio kuwa kwa mara ya kwanza nchi itatikisika kwani hatutakubali upumbavu wa mengi na wenzake tabora si kama mikoa mingine ambayo watu wametukana na kuondoka alama hapa lazima waache hata soksi kama siom vipara vyao
Pamoja na juhudi zote za kuondoa post zihusuzo makamanda wa ufisadi nitaendelea kuandika hadi nitakapo thibitishiwa kuwa JF sio jukwaa huru lakini kama JF ni jukwaa huru ambalo kila mtu naweza wa kutoa mawazo yake kwa uhuru hili halitanikwaza nikiwa naelekea kwenye post 200! Baada ya heka heka za Nzega taarifa nilizo nazo za uhakika ni kuwa Bwana Reginald Mengi na wale wanaojiita makamanda wa ufisadi wanajiandaa kuja Tabora mjini ili kutoa wanachoita misaada yao kwa wananchi ili wajikwamue na umaskini. maandalizi yote kwa jimbo la Tabora yanasimamiwa kificho sana na Mh Aziza Sleyum Aly na vikao vinafanyika katika Club ya VOT ( Rufita Club) inayomilikiwa na Al haji Aden Ismail Rage(japo ni Alhaj anayeuza Pombe) Mh aziza ambaye hata katika mkutano wa Nzega wa mengi alichangia Tshs 1,000,000/= kwa kutuma mwakilishi ili asijulikane na viongozi wengine wa CCM ngazi ya mkoa ingawa nadhani kwa bahati mbaya Mh selelii alitangaza mchango wa Aziza na ule wa Spika ambaye naye alituma katibu wake bwana Paul Shija ambaye alitoa salaamu za uwakilishi. kinachofuata sasa makamanda hao wa ufisadi wanajiandaa kuja Tabora soon baada ya mfungo kwa lengo la kuja kumsaidia Mh Aziza Ally kwa jimbo la Tabora mjini. once again karibuni makamanda wa ufiadi Tabora mjini kwa matarajio kuwa kwa mara ya kwanza nchi itatikisika kwani hatutakubali upumbavu wa mengi na wenzake. Tabora si kama mikoa mingine ambayo watu wametukana na kuondoka salama hapa lazima waache hata soksi kama sio vipara vyao