On their way back can they Stop at Igunga wafanye kama waliyofanya huko Nzega!
Kweli kimbunga cha JF kinakwenda kwa kasi ya ajabu! Mafundi Baiskeli Nzega kama nao wanaingia humu naamini 2010 ujumbe (hoja za JF) utakuwa umesambaa nchi nzima.
Zyansiku, kamanda hakikisha kila anayekuja kutengeneza baiskeli asitoke hivihivi, mpe salama za JF ili BAISKELI YAKE NA UBONGO WAKE VYOTE VIPATE MAINTENANCE
On their way back can they Stop at Igunga wafanye kama waliyofanya huko Nzega!
Makamanda wa Ufisadi, (Wabunge wa CCM) na Bw Regnald Mengi wanatarajiwa kutua Nzega Jumamosi ya wiki hii na kupokewa kwa maandamano na shamra shamra kubwa zitakazoambatana na burudani kede kede
Aidha msafara huo unatarajiwa kuwa na makamanda wa Ufisadi ambao ni Dr Mwakyembe, Sendeka, Kimaro, Kilango, Aziza Ally, Lembeli, Nkumba, Selelii (Mwenyeji wa ugeni) na wengine ambao sijapata taarifa zao.
Chanzo cha habari kinasema kuwa maandalizi yote yameshakamilika ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kukabidhi Hundi ya zaidi ya M150 kwa vikundi vya ujasiria mali 80 ambavyo kila mwana kikundi atajinyakulia kiasi cha Tshs 60,000/= ili kujikwamua na umaskini.
I wiil B there!
Welcome Mengi, welcome makamanda wa ufisadi Nzega!
Watanzania kwa ujinga tunaongoza; Mengi si akawawezeshe wale wafanyakazi wake ambao anawalipa chini ya kima cha chini?
Mengi hana hizo pesa na biashara zake zinaenda mrama. Huko Nzega mtaishia kupigwa na jua tu mkisubiri pesa za Mengi.
Kuna sehemu aliwaahidi kuwachangia milioni 300 kwa ajili ya bank ya vikoba na ameshindwa hata kutoa senti tano.
Pesa inapatikana kwa kuchapa kazi, kuwajibika. Msitegemee hata siku moja kuangukiwa na mapesa kutoka kwa mtu yeyote.
Watu wanatumia ujinga wa Watanzania kupenyeza pesa chafu wakati wa uchaguzi. Kumbuka yule Manji alivyomwaga mapesa wakati wa uchaguzi baada ya hapo kazi yake kunyanyasa wafanyakazi kwenye viwanda vyake. Mtaelemika lini?
Pole kabonde! No matter mhindi au mwarabu the issue is content! ubaguzi huo unaotaka kuuhubiri hautatufikisha popote, hii inaanza kuthaminisha kuwa hata Zito kuenguliwa Chadema ni sababu ya ukabila wakati inawezekana si sababu ya msingi lakini unapoanza kusema msomali, mwarabu nk sijui unataka kutupeleka wapi anyway sisi vijana wa Nzega kwa swala la huyo unayemwita msomali hatulali mpaka kieleweke selelii analijua hilo hata joto la Nzega analijua vizuri Selelii hapo umekosea kidogo
Watafika mpaka Nzega?
ndio anasaidia lakini ili aweze kusaidia na kesho lazima awe anapata faida pia..Ushupavu wa Mzee Mengi na vyombo vyake vya habari katika vita dhidi ya ufisadi ni wa kuungwa mkono kwa nguvu zote, ila kinachonitia wasiwasi ni huu umwagaji wake wa mihela huku wafanyakazi wa IPP Media wanalia njaa mishahara mpaka jana walikuwa hawajalipwa.Hii haina maana Mzee Mengi hana hela, kuna uwezekano mishahara ya watoto wake imecheleweshwa na urasimu tuu, ila pia, huu wema wa Mzee Mengi, kukawa mahela kwenye majimbo yale yale tuu ya wale wabunge wale wale ili hali kuna majimbo mengine yanauhitaji mkubwa zaidi wa msaada wa Mengi kuliko huko fedha zinakomwagwa.Pia huu umwagaji wa fedha za mheshimiwa sana uko na un even distribution, kuna sehemu anamwaga milioni mia mia, kuna sehemu milioni 150 na majimbo ya Moshi alimwaga milioni 500!.Pia kuhusu ukamanda wa Mzee Mengi kwenye vita vya ufisadi na misaada inakomwagwa ni maeneo strategic ambayo in a longo run kutakuwa na bussiness interestAlianzia kumwaga misaada kwa Sendeka, akawazwa kuwa Ole Mengi, kufunga macho na kufungua, ni mmoja wa wamiliki wakubwa wa machimbo ya Tanzanite.Kwa Kimaro, mzee sasa ni mmoja wa wakulima wakubwa wa kibiashara, Nzega kwa Selelii sijua kuna nini?!. 'I fear the Greeks especially when they bring gifts'Kama mzee kweli hana ajenda yoyote!...sijui..anyway time will tell.Vidumu vita dhidi ya ufisadi.
embu tutajie hizo NGO za mengiBambumbile,
Mengi ana mapesa mengi tu machafu ambayo amepewa siku za karibuni kwa ajili ya uchaguzi wa 2010.
Hizo pesa sehemu kubwa ni kwa ajili ya upinzani na baadhi ya wabunge wa CCM. Inasemekana zimetoka kwa wafadhili ambao wameogopa kutoa moja kwa moja kwenye vyama vya siasa kwasababu ya kuogopa serikali. Badala yake wameingiza pesa nyingi kwa Mengi kupitia NGO zake ili kufanikisha hilo lengo.
Ushupavu wa Mzee Mengi na vyombo vyake vya habari katika vita dhidi ya ufisadi ni wa kuungwa mkono kwa nguvu zote, ila kinachonitia wasiwasi ni huu umwagaji wake wa mihela huku wafanyakazi wa IPP Media wanalia njaa mishahara mpaka jana walikuwa hawajalipwa.Hii haina maana Mzee Mengi hana hela, kuna uwezekano mishahara ya watoto wake imecheleweshwa na urasimu tuu, ila pia, huu wema wa Mzee Mengi, kukawa mahela kwenye majimbo yale yale tuu ya wale wabunge wale wale ili hali kuna majimbo mengine yanauhitaji mkubwa zaidi wa msaada wa Mengi kuliko huko fedha zinakomwagwa.Pia huu umwagaji wa fedha za mheshimiwa sana uko na un even distribution, kuna sehemu anamwaga milioni mia mia, kuna sehemu milioni 150 na majimbo ya Moshi alimwaga milioni 500!.Pia kuhusu ukamanda wa Mzee Mengi kwenye vita vya ufisadi na misaada inakomwagwa ni maeneo strategic ambayo in a longo run kutakuwa na bussiness interestAlianzia kumwaga misaada kwa Sendeka, akawazwa kuwa Ole Mengi, kufunga macho na kufungua, ni mmoja wa wamiliki wakubwa wa machimbo ya Tanzanite.Kwa Kimaro, mzee sasa ni mmoja wa wakulima wakubwa wa kibiashara, Nzega kwa Selelii sijua kuna nini?!. 'I fear the Greeks especially when they bring gifts'Kama mzee kweli hana ajenda yoyote!...sijui..anyway time will tell.Vidumu vita dhidi ya ufisadi.

Chimo, unauliza swali au unapigia mstari jibu? Soma title ya hii thread.