Josh Michael
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,523
- 77
SIsi Watanzania kutakuwa watazamaji mpaka lini. Lazima tuungane katika kuunga mkono Harakati hizi
SIsi Watanzania kutakuwa watazamaji mpaka lini. Lazima tuungane katika kuunga mkono Harakati hizi
Nimekuwepo Nzega kwa shughuli hii. Hakika makamanda wamefanya kazi ya kutisha Nzega,sidhani kama Mafisadi watalala leo. Nahapa ndo orodha ya makamanda hawa
REGNALD MENGI
DR.MWAKYEMBE
CHRISTOPHER SENDEKA
NAPE NNAUYE
JAMES LEMBELI
BETRICE SHELUKINDO
LIKOKOLA
SELELI(MWENYEJI)
Na baadhi ya waandishi wa habari.
Kwahakika wamerusha makombora ya kutisha,na habari nilizo nazo kibaraka wao Nzega,yule Msomali analalamika sana Nzega na sana anamlalamikia Nape,kijana mwenzake. Lakini kasahau yeye alivyompiga Nape wakati aliposema juu ya jengo la UVCCM! Ama kweli mkuki kwa Nguruwe!.........
nashauri waunde chama chao wajitoe CCM
Tupo pamoja na MUNGU yupo kati yetu haki kieleweke!Unamzungumzia yule kijana wa kisomali !,Zyansiku hacha ushabiki maandazi.Hivi Tanzania tuna uhaba wa viongozi mpaka tuwape uongozi wasomali walioshindwa hata kujitawala.Hapana nakataa imefika mahali watanzaia kuwaambia wageni wafanye kila kitu lakini siasa watuachie wazawa.
Wiki ijayo nitakuwa Morogoro mji kasora bahari kutoa somo la uraia ili waachane na kasumba ya kutulea wahindi wachovu pale mjengoni.Nikitoka huko nitapitia Tabora kuendeleza elimu ya uraia kwa wapiga kura wasimchague yule miran Rostam Azziz.
Tupo pamoja na MUNGU yupo kati yetu haki kieleweke!
The art of being wise is knowing what to overlook
Unamzungumzia yule kijana wa kisomali !,Zyansiku hacha ushabiki maandazi.Hivi Tanzania tuna uhaba wa viongozi mpaka tuwape uongozi wasomali walioshindwa hata kujitawala.Hapana nakataa imefika mahali watanzaia kuwaambia wageni wafanye kila kitu lakini siasa watuachie wazawa.
Wiki ijayo nitakuwa Morogoro mji kasora bahari kutoa somo la uraia ili waachane na kasumba ya kutulea wahindi wachovu pale mjengoni.Nikitoka huko nitapitia Tabora kuendeleza elimu ya uraia kwa wapiga kura wasimchague yule miran Rostam Azziz.
M-Bongo;Waheshimiwa wana wa Nchi! sisi wakazi wa Nzega tumekuwa kwa muda mrefu tukisubiri mamilioni toka kwa bwana Mengi kama ambavyo tumekuwa tukiahidiwa mara kwa mara, tulipopata taarifa za ujio wa Bwana mengi Nzega tukaamini kuwa kwa kiasi fulani tutaweza kupambana na umaskini tukaanza kutekeleza yafuatayo kwa maelekezo ya Mama doto ambaye ndiye mratibu wetu wa VICOBA Nzega. mchango wa mapokezi ya ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi kwa kila mwana kikundi 20,000/= kiingilio cha uanachama 12,000/= sare kanga 6000/=,tshirts 6000/= hivyo kila mjumbe amejitolea Tshs 44,000/=
kwa kiasi cha milioni 100 alizoahidi kuzitoa Mengi kwa vikundi 80 ambapo kila kikundi kina wanachama wasiopungua 20 mgao wa fedha hizo za VIKOBA hautazidi 48, kwa kila mwana kikundi, mmetuumiza mno! ninapo sema mno nina maana ya mno kingine ambacho ni kibaya sana kikundi ambacho chaweza kunufaika kidogo ni kile cha mama Selelii ambacho kutokana na kuwa karibu na Mh Mb chaweza kupata fedha isiyopungua M30 je ni kweli kwamba tuamini ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi nzega madhumuni yake makuu ni kupigana na umasikini au kutuletea umaskini? jambo lingine ambalo inawezekana lisiwe na maana sana kwa mchango huu ni pale nilipomsikia Nauye Jnr na mheshimiwa wa Simanjiro wakisema bashe wa Nzega asichaguliwe eti kwa kuwa ana uraia wa kuandikishwa,Nape usiende hivyo tuna kutegemea sana katika mabo mengi hasa ya Uvccm unapoanza kuhubiri Siasa za ubaguzi huo hata baba yako huko aliko nadhani anatoa machozi sidhani kama katika uhai wake Mzee nauye aliwahi kuwakana kina Amir Jamar,Shamim Khan,Salim A Salim na wengine wengi tumekuwa na A. Kinana kwenye NEC kwa miongo kadhaa. pole sana Nape yawezekana matamshi yale yalikutoka ili uendelee kupata mkate wako w kila siku kwa RM maana wahenga walisema maradhi yote ugua kuchacha usiombe!
Waheshimiwa wana wa Nchi! sisi wakazi wa Nzega tumekuwa kwa muda mrefu tukisubiri mamilioni toka kwa bwana Mengi kama ambavyo tumekuwa tukiahidiwa mara kwa mara, tulipopata taarifa za ujio wa Bwana mengi Nzega tukaamini kuwa kwa kiasi fulani tutaweza kupambana na umaskini tukaanza kutekeleza yafuatayo kwa maelekezo ya Mama doto ambaye ndiye mratibu wetu wa VICOBA Nzega.
mchango wa mapokezi ya ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi kwa kila mwana kikundi 20,000/= kiingilio cha uanachama 12,000/= sare kanga 6000/=,tshirts 6000/= hivyo kila mjumbe amejitolea Tshs 44,000/=
kwa kiasi cha milioni 100 alizoahidi kuzitoa Mengi kwa vikundi 80 ambapo kila kikundi kina wanachama wasiopungua 20 mgao wa fedha hizo za VIKOBA hautazidi 48, kwa kila mwana kikundi, mmetuumiza mno!
ninapo sema mno nina maana ya mno kingine ambacho ni kibaya sana kikundi ambacho chaweza kunufaika kidogo ni kile cha mama Selelii ambacho kutokana na kuwa karibu na Mh Mb chaweza kupata fedha isiyopungua M30 je ni kweli kwamba tuamini ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi nzega madhumuni yake makuu ni kupigana na umasikini au kutuletea umaskini?