Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Kitendo cha MENGI Na KUSAGA kukumbatiana ni ishara ya kudondoka kwa serekali ya JPM.
Nakumbuka kwa muda mrefu Makonda amekuwa akihakikisha IPP na Clouds media hawawi kitu kimoja.Hata kwenye ziara zake alikuwa akiwasifu clouds na kuwanyamazia ITV kama vile hawapo.
Pia kumbuka leo hii EFM wamekumbatiana na Clouds FM hii yote ni baada ya Rais kumkingia kifua mhalifu.
Kwa mtu mwenye jicho la tatu, hali hii itaidhoofisha sana serekali.Maana kwa sasa hata JPM afanye kitu gani kitapewa muda kidogo sana. Na bila Vyombo imara vya habari huwezi kuwa na serekali imara kamwe.
Kumbuka pia kitendo cha Bashite kubebwa.
Nipashe, Mwananchi, Mtanzania, Tanzania Daima, Jamhuri, Mawio na Mwanahalisi nayo yameungana kuwa kitu kimoja.
Hivi, JPM atatokea wapi? Hayo ni maumivu makubwa kwa serekali. Lakini Magufuli kakubali serikali yake ipate maumivu kisa ni mtu mmoja tu BA-SHI-TE.
Kweli nimeamini pombe sio chai!