Hadi sasa sijaona msingi wa Mengi kutopewa nafasi ya kutafuta na kuchimba gas Mtwara. Kwa utajiri wa USD 550 million anaweza na ana haki ya kufanya hivyo ndani ya nchi aliyozaliwa. Sijajua kwanini serikali huwa inamnyima huyu mzee nafasi nyingi ambazo huwa anakuwa ana uwezo nazo au wadau kuna kitu tofauti nyuma ya hili.......
Kama kaenda na huko TPDC kushindanishwa na bado danadana basi ni mbaya sana , sie watz haki ya Mungu bado sana kama ni hivyo lakini!Huko nako ameshaenda danadana tu we unadhani mpaka analalamika huko hajafika? Na kilimanjaro hotel alitakiwa aende TPDC pia? Wamezidi kumfanyia chuki huyu bwana mpaka watu wa kawaida tunastuka
Huko nako ameshaenda danadana tu we unadhani mpaka analalamika huko hajafika? Na kilimanjaro hotel alitakiwa aende TPDC pia? Wamezidi kumfanyia chuki huyu bwana mpaka watu wa kawaida tunastuka
Sina uhakika kama amefika huko, lakini kwa ajili ya maongezi tu, tuchukulie inawezekana kuwa amefika lakini hakukidhi matakwa ya vigezo vilivyowekwa.
Mengi angekuwa amekidhi vigezo na kanyimwa na ana media yake mwenyewe si angeijaza hayo hayo tu?
Fikiri!
Hadi sasa sijaona msingi wa Mengi kutopewa nafasi ya kutafuta na kuchimba gas Mtwara. Kwa utajiri wa USD 550 million anaweza na ana haki ya kufanya hivyo ndani ya nchi aliyozaliwa. Sijajua kwanini serikali huwa inamnyima huyu mzee nafasi nyingi ambazo huwa anakuwa ana uwezo nazo au wadau kuna kitu tofauti nyuma ya hili.......
Atachimba kwa kucha? hana utaalaam wala ujuzi wala pesa za kutosha.
Si aliambiwa kama ametimiza vigezo aende TPDC kilichomshinda ni nini?
Huyo ametaka kuwa dalali wa kampuni za kigeni, kazi ambayo TPDC wenyewe wameiweza na bado wanaiweza.
Na huo ni ubinafsi wa kutaka kujinufaisha mtu mmoja huku taifa likikosa mapato ambayo yangenufaisha wtz wote! nampongeza pro kwa kukata hiyo mirija pia na wasihi mawazir wa fedha wawe na msimamo km wa professor ili makampuni ya nje yalipe kodi ipasvyo yaache kujificha katika migongo ya wazawa ili kukwepa kodiHili Suala waziri aliliweka wazi sana tu.
Hakuna Tajiri wa Tanzania anaeweza kuwekeza kwenye mradi wa Gas kwa hatua hii.
Sasa sijui kama watu walifuatilia au ndio ushabiki tu.
Hata kama wawekezaji kutoka nje wanakuja na kuwekeza na kupeana pesa lakini ifahamike kwamba wao na Nchi zao wana Sera zao.Na kama suala ni hilo basi atafute wenzie wajiunge na sio Udalali.
Tatizo nikwamba kumekuwa na tabia ya watanzania kuingia ubia na wageni huku wao wakiwa hawana kitu ili yule Mgeni asilipe kodi stahiki.
Mfano hata huku Zanzabr,kuna wawekezaji wa Nje wamechukua watu wa hapa ili wawe wabia na share kubwa iwe ya raia ili kodi walipe chenga na unga.
Huu mchezo upo hadi kwenye miradi mikubwa.
Hadi sasa sijaona msingi wa Mengi kutopewa nafasi ya kutafuta na kuchimba gas Mtwara. Kwa utajiri wa USD 550 million anaweza na ana haki ya kufanya hivyo ndani ya nchi aliyozaliwa. Sijajua kwanini serikali huwa inamnyima huyu mzee nafasi nyingi ambazo huwa anakuwa ana uwezo nazo au wadau kuna kitu tofauti nyuma ya hili.......
Tatizo lakokwa Mengi ni imani yake na kabila lake na ndio maana unatuwekea picha za mabwana wenu wa kiarabu hapa.
Jina lingekuwa Abdurahman,Mohamed,Athumani na mengineyo kama hayo ungesimamia kucha kuzungumza kinyume chake...sijui kama nimekosea!!!!
Huyo anataka udalali tu aache Professor afanye kaz,mimi binafsi naona pro ana nia njema!
Na huo ni ubinafsi wa kutaka kujinufaisha mtu mmoja huku taifa likikosa mapato ambayo yangenufaisha wtz wote! nampongeza pro kwa kukata hiyo mirija pia na wasihi mawazir wa fedha wawe na msimamo km wa professor ili makampuni ya nje yalipe kodi ipasvyo yaache kujificha katika migongo ya wazawa ili kukwepa kodi
Nchi hii balaa kama hujui...mzawa hatoi 10% ndiyo maana wanataka atoke nje ili atoe na Mengi alianza kukosa Kilimanjaro hotel sidhani kama atapata vitalu vya gesi labda akampe deal mwana mfalme Oman aje aombe na yeye anunue hisa