brightoscar
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 369
- 544
Hadi sasa sijaona msingi wa Mengi kutopewa nafasi ya kutafuta na kuchimba gas Mtwara. Kwa utajiri wa USD 550 million anaweza na ana haki ya kufanya hivyo ndani ya nchi aliyozaliwa. Sijajua kwanini serikali huwa inamnyima huyu mzee nafasi nyingi ambazo huwa anakuwa ana uwezo nazo au wadau kuna kitu tofauti nyuma ya hili.......

Jina lingekuwa Abdurahman,Mohamed,Athumani na mengineyo kama hayo ungesimamia kucha kuzungumza kinyume chake...sijui kama nimekosea!!!!Atachimba kwa kucha? hana utaalaam wala ujuzi wala pesa za kutosha.
Si aliambiwa kama ametimiza vigezo aende TPDC kilichomshinda ni nini?
Huyo ametaka kuwa dalali wa kampuni za kigeni, kazi ambayo TPDC wenyewe wameiweza na bado wanaiweza.
Jina lingekuwa Abdurahman,Mohamed,Athumani na mengineyo kama hayo ungesimamia kucha kuzungumza kinyume chake...sijui kama nimekosea!!!!
Atachimba kwa kucha? hana utaalaam wala ujuzi wala pesa za kutosha.
Si aliambiwa kama ametimiza vigezo aende TPDC kilichomshinda ni nini?
Huyo ametaka kuwa dalali wa kampuni za kigeni, kazi ambayo TPDC wenyewe wameiweza na bado wanaiweza.
Chuki zako za kidini hazitakusaidia chochote zaid zitakumbukiza ujingani.Jina lingekuwa Abdurahman,Mohamed,Athumani na mengineyo kama hayo ungesimamia kucha kuzungumza kinyume chake...sijui kama nimekosea!!!!
Dada FF, swali lako siyo sahihi, atachimba na kucha kivipi?! Kama fund anazo,wataalam na vifaa atakuwa navyo! Tuache kukariri kuwa wawekezaji lazima wawe wa nje, hii ni mentality mbaya! Angekuja mzungu na hela kama za Mengi angepewa fursa. Ifike mahali tuthamini Watanzania wenzetu ambao wana fursa.
Serikali yetu huwa haipendi kuwaamini wazawa na kuwatumia katika hali ya kawaida wazawa walitakiwa kuanza kupewa upendeleo kwa kuangalia uwezo wao,Mengi ana capital ya kutosha inawezekana kuliko hata hao watu waliopewa hizo nafasi. Mi kama mtanzania na najua umuhimu wa uzawa na uzalendo mengi angepewa kazi yote ya gas kama angekuwa na uwezo huo ningekuwa proud kwake na kwa serikali pia coz tungeprove kuwa there are people here who can do big things without depending from mabeberu
Iwaamini wazawa? Nyerere alitaifisha viwanda na akajenga vingine uoya akaanzisha na mashirika ya umma kibao, yako wapi? si aliwakabishi wazawa?
Dunia ya sasa si kama ya Nyerere, ya kupewa tu na kujaribiwa kama utaweza au huwezi, dunia ya leo unawekewa vigezo, umeviweza unaambiwa haya chukuwa eneo kafanye kazi, umeshindwa vigezo utaweza kweli kuifanya hiyo kazi? Maawee!
Ile ilikuwa ni Mali ya umma watu hawakuwa na uchungu nayo Mengi atatumia his own capital sidhani kama mtu unaweza inject million of dollars then uziache zipotee in thin air.
Kama ni mzawa na ana mahali pa kuanzia angepewa upendeleo maalum. Hawa wazungu wanaokuja na nguo kwenue rambo na wakarudi kwa mamilionea mbona hamuwasemi. Nchi nyingine akina Mengi wa nchi hizo huwezeshwa zaisi. Hapa kwetu bado suala la rangi linatutesa sana.
Ile ilikuwa ni Mali ya umma watu hawakuwa na uchungu nayo Mengi atatumia his own capital sidhani kama mtu unaweza inject million of dollars then uziache zipotee in thin air.
Ewe kijana, Kiswahili hukijuwi? si angeenda TPDC kama ana vigezo vilivyowekwa? kimemshinda nini?