Duh kumbe bado anapenda usultani, dunia ya leo bado anahamasisha kufuliwa nguo kupikiwa? raha ya mapenzi kusaidiana na katika hili yeye anaeeza kumfulia pichu yfu wake wakati mwenzake anampikia.
Mkuu ng'ombe akikonda hawezi kuwa mdogo kama sungurangoja afilisike tuone km atafanya vyote hivyo.
LIKUD ukweli utabaki pale pale wanaume asilimia kubwa duniani wanapenda sana kudekezwa, kuona wanafanyiwa mambo yao na wake zao.
kuna wanaume ambao kufua, kupika wakifanyiwa haya na wake zao hufurah zaid kuliko makifanya house helper..................mwanzoni nilidhan ni waafrika tu ndio wanaopedna haya ila nikaja kukuta hata wazungu baadhi yao hasa watu wa uingereza wanapenda sana kufanyiw ahizi kazi na wake zao.
ni credit nzuri kwa mama kujua kuihudumia familia yako hasa kwenye yale mambo ya msingi ambayo wengi huona ni kazi za kudeligate. natoa mfano kuna siku majuzi tu nilikuwa nafua bafuni nikashangaa hubby kaja kukaa karibu yangu yangu tunapiga story nikajikuta ninasaidiwa tu kusogezewa nguo na kutoa za kwenda kuanika nlipo hamia kazi nyingine nikajikuta bado naendelea kusaidiwa na kupigiwa stori za hapa na pale basi jumamos yangu ikawa ya raha sana.
nilichogundua ni hiki kukaa tu sebuleni kutizama tv na kutengeneza nywele hakumfanyi mwanaume avutiwe na wewe zaid ila kila kitu kina ladha yake kwenye mapenzi hata ufanyaji wa hizi house works huongeza chachu manake muda anakuona unafanya hayo hujiuliza anawezaje kukutia moyo zaid?? basi inabidi kitandani akufurahishe zaid manake anajua antakiwa akumotivate lol!!!!!!
wanawake tusidharau haya mambo hata kidogo, yana contribution yake ila sasa kama pia huoni umuhimu wake you can just ignore them.
muda mwingine kazi kama kufua kuosha viatu vya mumeo hukufanya uwe na uhakika na aina ya nguo atakayo ivaa na hali yake. Am telling you nguo usiyoikagua huwez kujua wapi inahitaj marekebisho kama ya kurudishiwa kifungo, zipu iloharibuka, kiatu chenye hitilafu nk. mahala pekee pa kuyajua hayo ni wakati unapozikagua ili usafishe/ufue. ukishindwa hapo utafuliwa utapasiwa utsmpangia aje avae na siku ya kuvaa ndipo unakuta nguo haina kifungo mara sijui imetatuka nk
hii pia haina tofauti na upish kwa kweli huwa siwaelewi wale ambao wansema kazi zinawatinga adi wnaenda kununua mssosi mtani ya kuja kula na familia...........as a mother learn to plan your time table ili uweze kupikia familia japo mara moja basi kwa siku yaani ikishindikana kabisa ata week end tuu...............apo ndipo utakapoweza kuona wanao wanfurahiaje chakula cha mama, mumeo anapenda chakula kilichopikwaje nk afya ya familia huongezeka ikiwa mama atakuwa ni mpish wa familia yake
sorry nime act kizaman lkn kwangu mie hii inaapply zaid
Yaani wewe mdada umeongea vizuri mno. ningetamani nikupe like 100 hivi lakini ndio siwezi. waeleze wale ambao wanadhani hsegal ndio kila kitu maana eti wote mnaamka asubuhi kwenda kazini hivyo unachoka. Hivi unawezaje kuchoka kumhangaikia mumeo na watoto wako? sipati picha. Eti wengine humu wanasema Mengi kasahau kua maisha ni kusaidiana. Yaani baba wa watu umri ule aingie jikoni au afue maana mnasaidiana...? ukisikia wanasema hivyo ambao wengi ni wababa, ujue issue hapa ni kukwepa majukumu. baba lisha familia yako, mama tunza familia yako, ndio mpango mzima. mawazo potofu ya kusaidiana achaneni nayo maana labour naingia mwenyewe na kugugumia maumivu mwenyewe kama mwenyezi mungu alivyoelekeza. Nakusaidia kipesa nikiamua lakini si wajibu wako kuanza kulazimisha. Thank you tena mdada.
hivi jamani mi naona chenga tu.mnaweza kunitajia jina la mke aliepita wa mengi?na waliachana kwa kisa gani? mbona kimyakimya?na kuna process za kupeana talaka mahakamani walizifuata au?
nani wanafanya hizo kazi za kufua na kupiga na ku baby seat watoto duniani kama sio unskilled women?Tatizo lako unafikiri kazi za nyumbani ni za wake vilaza.., usifanye mchezo na kazi ya kutunza nyumba, kutunza watoto, kupika chakula kizuri, kufua na hapo hapo abaki kuwa mwanamke mzuri...
Faiza anakujaje hapa, umeshindwa kumuanjia kwenye ma pm huko umeamua kumchomeka hapa? Kama unamwogopa kwenye ma one on one ya pm huko achana nae, kwanza ni religious bigot moja kubwa sana, mimi lilisha ni turn off siku nyingi wala silisomi for the most part.hata Faiza ni mkorofi, lakini yaelekea ni mke mwema..., kama Klyn...
Mengi hajawah kumtaliki mkewe Mercy. Bado ni mume na mke, ila zipo sabbu kwann Mengi ameamua kuoa huyu na sio kwamba mercy hajaridhia
kama hajamtaliki ana uhalali gani wa kuoana na huyu dada wakat ndoa yake ni halali?
Uanawake upo pale pale yle ya upande wako kama mwanamke wapaswa kuyatimiza kwa asilimia mia mojaDuh kumbe bado anapenda usultani, dunia ya leo bado anahamasisha kufuliwa nguo kupikiwa? raha ya mapenzi kusaidiana na katika hili yeye anaeeza kumfulia pichu yfu wake wakati mwenzake anampikia.
Hii kiboko duuuhahahahaha!!!
Hah Mkuu ulikuwa hujui hilo!!Kwahiyo K-Lynn ni mwanahisabati?
Amefanya nini babangu? Naona umemtaja.Hapo chacha!!
Huyo ni mke wa pili, muombea due na mke mkubwa.mwenyezi mungu azidi kuwapa masikizano......