Mengi kusomewa albadiri Dar es Salaam

Kufilisika kubaya ! Mtu anaitafuta 49 m kwa kuchimba mkwara wa kichawi!
 
Visomo vipo lakini sio kila kisomo kinachoweza kurudisha majibu kwa haraka basi ndio itafsirike ni Albadri.
Wengi waliouvaa mkenge wa albadri ni wale wanaolazimisha waonekane kwa watu kwamba wao ni 'makburiin"(wenyekukubaliwa na allah).
Lakini visomo vipo na nafikiri shekh wangu atakuwa anamaana ya "DUA YA ALIEDHULUMIWA" kwa sababu muislam hutakiwi kudhulumu wala kudhulumiwa.
Na unatakiwa kulipa haki ya watu kwa njia yoyote ile au kudai haki yako kwa njia yoyote ile yenye tija.na ukishindwa kupa hakiyako basi SHITAKI KWA ALLAH.
 
Kwani mapadri wanavaa nini au shimizi?

Nyie mnaotetea vyama vyenu vya siasa muwe mnajitenga na kukashifu dini za wengine maana itaonekana ndio msimamo wa chama chako.Hili nalo ni miongoni mwa sababu za kuanguka vibaya kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
 
huyo anatishia tu watu wameaga kwao,kama anaweza awasomee hiyo albadiri wale waliochukua pesa za ESCROW
 
Hapan ahlul badr ipo huwa wanafanya wasila wanawataja waliopigana vita vya badr na huwa ina dhuru sana me nlishawah kuona mtu akisomewa akafa
 
Kuna wakati huwa unatoa point bila kujali wala kuangalia kushoto au kulia.
 
View attachment 214123View attachment 214124
 
Albadiri ni faraja kwa wajinga tu.

Labda mseme mtamlipua kwa suicide bomber.

Kama albadiri inafanya kazi wanisomee mimi niliyesema mungu hayupo.

Frankly speaking when it comes to the issue of God Kiranga you make me sick!
Ulijiumba mwenyewe?
 
Hata Manji aliwahi tishia hii kitu kwa Mengi miaka kadhaa iliyopita
 
Frankly speaking when it comes to the issue of God Kiranga you make me sick!
Ulijiumba mwenyewe?

Sijaongelea mungu, nimeongelea albadiri.

Albadiri ni mungu?

Kutojiumba mwenyewe si ithibitisho kwamba mungu yupo.

Kama unakubali mungu yupo thibitisha.
 
mil 49! si mchezo kama ni kweli hiyo pesa ni halali kumdai basi dua itajibu lakini kama kuna mazingira ya dhuluma, uongo na chembechembe za kujinufaisha. potezea shekhe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…