Mengi awataja wanaompa kiburi

Yego Masika TIBA,

Kweli ulichokiona IGUNGA ndicho nami nilikiona nikiwa safarini kutokea Rock City kweli nipitapita pale na kutaka kuujua ule mji na kufanya comparison Mh. Mbune RA jamani wale watu nadhani hawajui nini maana ya kumchagua mbunge wao na kuwa mwakirishi wao kisawasawa, Pale IGUNGA kuna umaskini kweli wa hali ya juuuuuu sana ati asubuhi ya saa mbili watu wanacheza bao duuuuuuh bandugu pale kuna kaaaziiiii kwelikweli. Yuho RA na mipesa yake yote na channels za kujua watu huko ndani na nje ya nchi kweli kuuboresha ile wilaya tu inamshinda jamani kuna wanafiki nchi hii na wanao ila nchi hiii kisawa sawa,

IGUNGA ni moja ya majimbo ambayo kuendelea kwakwe ni ndoto pamoja na kuwa mbunge wao ni mtu maarufu kwa sifa nyingi hapa nchini.
 
Fisadi Mengi apewa kiburi na Mwenyekiti wa Chama cha Mafisadi. Amedhihirisha kuwa he is one of them fisadis. Halafu mnamwita mpiganaji, mpiganaji vita dhidi ya ufisadi.

Kawaruka kweupeee kalaghabaho.

unakosea, mengi si fisadi ni mtu wa wengi. Pia inspiration inaweza kutokana na ubaya. Ukimwi unani-inspire kuishi kiutu. So uovu unamfanya mtu aidha afikirie namna ya kuukwepa au kunufaika nao
 
Mengi inabidi nae achunguzwe, yeye sio Nabii kama wengine kwenye hii forum wanavyo tutaka tufikiri, Allegation against him ninzito inaitaji ufafanuzi wa kina. Sirikali iwachunguze hawa mafisadi pamoja na Mengi bila kujali taifa, rangi wala kabila. Mengi anatakiwa achunguzwe
 
Mengi inabidi nae achunguzwe, yeye sio Nabii kama wengine kwenye hii forum wanavyo tutaka tufikiri, Allegation against him ninzito inaitaji ufafanuzi wa kina. Sirikali iwachunguze hawa mafisadi pamoja na Mengi bila kujali taifa, rangi wala kabila. Mengi anatakiwa achunguzwe

Usikonde mzee Bull, rafiki yako Rostam si amepeleka ushahidi wa mabaya ya Mengi kule Takukuru kwa Hosea? Sasa wanaweza kuwa ndio wanahangaika kutafuta (na ikiwezekana kupika) 'mabaya' ya Mengi, kwani ni mwiba kwao wote hao mafisadi na vyombo vyao kama Takukuru.
 
Mengi, kwani ni mwiba kwao wote hao mafisadi na vyombo vyao kama Takukuru.

SASA NAPATA PICHA!ni kwanini jf ina average ya newcomers 35 kila siku?.........sasa nimeelewa!wengi sana wameingia jamii KWA KAZI MAALUMU
 
Haiwezekani leo fisadi jk amchukulie hatua fisadi mwenzie ila dah! Mengi kuua vyama vya siasa, unaweza kutusaidia tulio gizani?
 
hii ni mbinu ya sisiemu ya kusilence hii mada but they failed for sure
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom