Hilo ni kanyaboya. Huyu mzee anamtumia JK kama ngao lakini hamaanishi. Kwani huwezi kuwa umezungukwa na mafisadi mpaka kwenye familia harafu wewe usiwe. Unaweza usiwe lakini ukafaidika na matunda ya ufisadi. Hivyo huyu mzee anamtumia kama shield ili asema na jamaa waufyate.
JK kama anadhani kuwa nyota yake inang'ang'aa kachemsha kwa sababu anatumiwa tu.
Shangazi, Igunga ni choka mbaya. Nilikwenda huko week chache zilizopita. Sikuamini kuwa Mbunge wao ndiye FISADI mkuu katika nchi hii. Yaani kule ni umasikini wa hali ya juu ndio unaoonekana dhahiri.
Lakini vipi uliweza kuuliza mtazamo wa wananchi wa Igunga kama wanamuonaje Rostam?
Lakini vipi uliweza kuuliza mtazamo wa wananchi wa Igunga kama wanamuonaje Rostam?
Nakumbuka ITV ilikuwa ikionyesha picha za mauaji ya Rwanda na wakieleza kuwa wananchi wakichagua upinzani tanzania itakuwa na mauaji kama hayo.
Lakini mi nadhani hapa ilikuwa ni suala la biashara kwa sababu matangazo yale yalikuwa yanalipiwa na CCM
Wacha kamba zako wewe... Asimtaje Prez JK, kwani yeye haogopi kuwakiwa moto!Anaposema JK anamaanisha Julius Kambarage Nyerere siye huyu aliyefutikwa mifukoni mwa mapapa wa mafisadi.
Fisadi Mengi apewa kiburi na Mwenyekiti wa Chama cha Mafisadi. Amedhihirisha kuwa he is one of them fisadis. Halafu mnamwita mpiganaji, mpiganaji vita dhidi ya ufisadi.
Kawaruka kweupeee kalaghabaho.
hahahaha KALAGABAHO.....Nimekupata hapa "yaani umeniquote vizuri sana"....
Mbona sikuelewi bibie
Shangazi, Igunga ni choka mbaya. Nilikwenda huko week chache zilizopita. Sikuamini kuwa Mbunge wao ndiye FISADI mkuu katika nchi hii. Yaani kule ni umasikini wa hali ya juu ndio unaoonekana dhahiri.
Hapo ndipo anapokosea.JK hawezi kuwa inspiration ya mapambano dhidi ya ufisadi.Instead,yeye ni sehemu muhimu ya ustawi wa mafisadi.
Katika taarifa ya habari ya juzi usiku, Mzee Mengi aliwataja watu watatu wanaompa ujasiri wa kupambana na ufisadi. Alikuwa akijibu swali juu ya wapi na nani anampa ujasiri. Alimtaja Mwenyezi Mungu, Rais JK na Maskini/wanyonge kuwa ndiyo nguzo za ujasiri wake.
Kati ya nguzo alizotaja nina wasiwasi na ya Rais JK. Lakini jinsi alivyomtega ni vigumu JK kukubali au kukataa hadharani kuwa yeye ni nguzo ya Mzee Mengi.
Eti Wana-JF, mnaonaje kuhusu jibu la Mzee Mengi, JK kweli ni nguzo iliyo upande wa wapinga ufisadi au ni ngao ya adui zetu (mafisadi)?
hahahaha KALAGABAHO.....Nimekupata hapa "yaani umeniquote vizuri sana"....
katika taarifa ya habari ya juzi usiku, mzee mengi aliwataja watu watatu wanaompa ujasiri wa kupambana na ufisadi. Alikuwa akijibu swali juu ya wapi na nani anampa ujasiri. Alimtaja mwenyezi mungu, rais jk na maskini/wanyonge kuwa ndiyo nguzo za ujasiri wake.
kati ya nguzo alizotaja nina wasiwasi na ya rais jk. Lakini jinsi alivyomtega ni vigumu jk kukubali au kukataa hadharani kuwa yeye ni nguzo ya mzee mengi.
eti wana-jf, mnaonaje kuhusu jibu la mzee mengi, jk kweli ni nguzo iliyo upande wa wapinga ufisadi au ni ngao ya adui zetu (mafisadi)?
Huwezi ukapambana na ufisadi ndani TZ iwapo utamuweka rais kwenye kundi la mafisadi. Solution ni kumuweka mbali na mafisadi kwa kumlazimisha kukaa kundi moja na wapinga ufisadi. Kitendo chake cha kukaa kimya, ni kuunga mkono tosha jitihada zinazofanywa na wapinga ufisadi. BTW, ni nani anayefahamu kwa hakika kuwa JK alikuwa akijua kwa hakika chanzo cha pesa za kampeni yake?