Meneja Tanesco kibaha.

Meneja Tanesco kibaha.

getrusa

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
2,150
Reaction score
1,824
Nimeshtushwa na weredi wenu na taaluma yenu katika kuwahudumia wateja wenu. Na nikawaza hapa ni njaa inawasukuma au ni kiu ya kupata wateja bila kujali.
Kibanda kilichowekewa umeme ni si salama kwa wateja wanaozunguka sabbu kimeezekwa kwa bati na kujengwa kwa bati nyaya zenu ziko uchi kati viungo.lakini bado mmempa umeme sabbu ni Afisa Afya wa wilaya.
Karibu na Nguzo upande wa juu kuna flemu hazina umeme tangu 2017.
Sabbu mmedai zinahitajika tsh 400000.
Kuvuta umeme kutoka nguzo mama je hii ndiyo taaluma yenu?
Hili eneo ni kibaha kwa Mathias Njia ya Nyumbu.
20190509_095500.jpeg
20190509_095537.jpeg
20190509_095527.jpeg
 
Nimeshtushwa na weredi wenu na taaluma yenu katika kuwahudumia wateja wenu. Na nikawaza hapa ni njaa inawasukuma au ni kiu ya kupata wateja bila kujali.
Kibanda kilichowekewa umeme ni si salama kwa wateja wanaozunguka sabbu kimeezekwa kwa bati na kujengwa kwa bati nyaya zenu ziko uchi kati viungo.lakini bado mmempa umeme sabbu ni Afisa Afya wa wilaya.
Karibu na Nguzo upande wa juu kuna flemu hazina umeme tangu 2017.
Sabbu mmedai zinahitajika tsh 400000.
Kuvuta umeme kutoka nguzo mama je hii ndiyo taaluma yenu?
Hili eneo ni kibaha kwa Mathias Njia ya Nyumbu.View attachment 1092417View attachment 1092418View attachment 1092419
Tanesco Kibaha wana ukritimba Sana na mambo ya hovyo mno
 
Kuna survey kaja kunipimia nguzo iko mita tatu kutoka eneo langu eti hesabu imekuja natakiwa nilipe laki nne. Sabbu hiyo nguzo iliyopo haiwezi kutolewa supply.
Halafu nguzo hiyo hiyo imeshushwa umeme kwenda kibanda cha mabati.
Unajiuliza hawa watu wapo ofisi za serikali na wanalipwa mshahara kwa pesa zetu hizi hizi..?

Kuna haja ya kuufumua uongozi mzima wa Tanesco kibaha.
kumbe unasumbuliwa na wivu na majungu pia.
 
Sio.wivu wala majungu kama umeme tayari ninao na nimeunganishwa baada ya kwenda Head office, mimi nina huo uwezo vip kuhusu wale wasio na huo uwezo?
Je hilo banda la bati na huo umeme hapo ni sahihi ikitokea ajali.tutasema ni Mungu kapenda?
Lets be serious.

ndugu siku hizi hakuna taaluma ni
siasa tu au nyumba za nyasi zenye umeme vijinini hujaziona?
pili usipende kujenga chuki na mtoa huduma wa huduma unayoitumia.
 
Tanesco kibaha ni majanga sana,Tangu Pasaka eneo letu lina tatizo la umeme,umeme mdogo sana,kila siku tunawapigia wanadai kurekebisha ni zaidi ya week,fridge haziwaki.Mwenye namba ya Waziri wa Nishati msaada unitumie inbox
 
ndugu siku hizi hakuna taaluma ni
siasa tu au nyumba za nyasi zenye umeme vijinini hujaziona?
pili usipende kujenga chuki na mtoa huduma wa huduma unayoitumia.
Unajaribu kunitishia?!
Uoga na kutowajibika ama kuwajibishana ndiko kunakotufikisha hapa.. kila mtu awajibike katika maeneo yake ili tuwe na Taifa bora
 
Ni kweli tanesco kibaha wana matatizo.
Mm naishi eneo ambalo linahitaji nguzo tano umeme kufika, eneo lina nyumba nane ambazo wenye nazo wanahitaji umeme wote lakin wao wanadai tulipie gharama za nguzo as if tutakuwa hatulipii bill au anapelekewa mtu mmoja.

Wakati wenzao Dawasco wanaunganishia wateja maji hata kwa mkopo wao wanaleta ukiritimba kwa wateja.

Huko Kibaha vijijini wanapeleka umeme hata mitaa isiyo na wakaaji ila huku kwetu ni majanga na tunaishi jirani kabisa na Morogoro road na tumepakana na njia ya umeme wa grid ya taifa.

Mi nadhan Tanesco kwa ujumla inatakiwa kuwekeza sana kuwafuata wateja badala ya kuwapa gharama kubwa ambayo baadae inanufaisha makampuni yanayosambaza vifaa vya solar.
 
Mi nadhani mtu ukijipima ukaona huwezi kuwatumikia wananchi au walio chini yako hawawezi kutii na kufuata maagizo yako achia ofisi kwa ajili ya watu wengine wenye huo uwezo wa kuongoza taasisi hiyo.
Tanesco kibaha

MENEJA TANESCO KIBAHA NADHANI HAUSTAHILI KUWEPO HAPO.
fullstop.
 
Huyu meneja wa Tanesco Kibaha anafaa kubebewa mabango siku Waziri mkuu au Waziri wake akifika Kibaha, haiwezekani mambo yake yaende kama kampuni ya mwarabu.
 
Haya tena Umeme saa kumi alfajiri hii umelipuka mahali palepale kwamatias, kwanini wewe meneja wa Kibaha usiwajibike kwa ustaarabu tu? Kazi imekushinda unasubiri nini?
 
Back
Top Bottom