Angalia usiwe mjinga kama huyo aliyekuwa anawazukumizia watu kwenye nyumba za ibada ambako uwezekano wa kuambukizana corona ni mkubwa! [emoji144][emoji144][emoji144][emoji123][emoji109]Usiwe kama mpumabvu ndugu yangu. Kwenye suala la corona watu walikejeli kwa sababu kuna mjinga mmoja aliona njia ya kupambana nayo ni kusali tu! Mungu ametupa maarifa na kwenye biblia hakuna kifungu kinachosema binadamu azembee kwa kutokuchukuwa tahadhari za magonjwa bali ategemee sala tu. Umewahi kutumia neti ya kuzuia mbu? Kwa nini hukulala bila neti na kusali ili Mungu awafanye mbu wasikung'ate? Umewahi kunawa mikono wakati wa kula? Kwa nini hukula bila kunawa na kutegemea Mungu akuepushe na magonjwa? Sasa linapokuja suala la corona kwa nini watu wasichukue tahadhari zilizotolewa na wataalam lakini wahimizwe tu kusali? Angalia usiwe mjinga kama huyo aliyekuwa anawazukumizia watu kwenye nyumba za ibada ambako uwezekano wa kuambukizana corona ni mkubwa!
Ha ha! Tumia hata tunguli zako.. no change of scene here..😜😂Asante hicho nimeshiba.. Ni wapi nimesema namuamini mtu? BTW hata kama simuamini its time for change.. We must now have a change of scene
Jr[emoji769]
Unataka badaliko ambalo hujui litakubadili vipi!! Sawa let's see the sceneChange of scene sio lazima kwenye makaratasi yaliyoandikwa kula ya ndio
Jr[emoji769]
Nimetumia hekima yangu tu hapo.Usikariri sio kila sehemu unaingia kwa kufoka!Hili limekuingia kisawasawa na nashukuru umekuwa mpole na msikivu sasa
Jr[emoji769]
Kwenye kujadili issue ya corona sipendi sana kutumia neno lockdown kwa sababu wabongo wengi hawaelewi maana yake. Mbongo yoyote lockdown maana yake ni raia kuzuiwa kutoka nje na wakae ndani tu. Ndiyo maana kuna mjinga mmoja alifanikiwa sana kulitumia hili neno kuwadanganya. Tanzania siku za mwanzoni corona ilipoingia kuna mkuu wa mkoa mmoja mpumbavu alikuwa anatoa hotuba za kuudharau ugonjwa na kusema ni -kakirusi na watu wasiogope. Kama hiyo haitoshi akaja mjinga mwingine akahimiza watu wakusanyike kwenye nyumba za ibada kusali eti kuzuia corona. Haya mambo mawili tu yalichangia sana kuenea kwa korona na watu wengi wakafariki. Yes, wamefariki wengi wanazidi 1000 japo mambo yaliofichwa. Mbona Kenya na Uganda waliweza kuzuia vifo vingi kama vya kwetu? Sasa kama wewe unaona mambo yalienda vizuri, well, ni uamuzi wako lakini kunako uzima kuna siku utajua ukweli.Sawa ndugu nimekuelewa...Hivi ni tahadhari zipi hatukuchukua tofauti na lockdown na kufunga nyumba za ibada?
Now you talkThat the way of a great thinker...!!!
Jr[emoji769]
Uchambuzi mzuri.. Maneno machache yaliyobeba madini tupuKwenye kujadili issue ya corona sipendi sana kutumia neno lockdown kwa sababu wabongo wengi hawaelewi maana yake. Mbongo yoyote lockdown maana yake ni raia kuzuiwa kutoka nje na wakae ndani tu. Ndiyo maana kuna mjinga mmoja alifanikiwa sana kulitumia hili neno kuwadanganya. Tanzania siku za mwanzoni corona ilipoingia kuna mkuu wa mkoa mmoja mpumbavu alikuwa anatoa hotuba za kuudharau ugonjwa na kusema ni -kakirusi na watu wasiogope. Kama hiyo haitoshi akaja mjinga mwingine akahimiza watu wakusanyike kwenye nyumba za ibada kusali eti kuzuia corona. Haya mambo mawili tu yalichangia sana kuenea kwa korona na watu wengi wakafariki. Yes, wamefariki wengi wanazidi 1000 japo mambo yaliofichwa. Mbona Kenya na Uganda waliweza kuzuia vifo vingi kama vya kwetu? Sasa kama wewe unaona mambo yalienda vizuri, well, ni uamuzi wako lakini kunako uzima kuna siku utajua ukweli.
Tukutane October kwenye ballot box.*MENE*, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
*TEKELI*,umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
*PERESI*, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.
Jr[emoji769]
Me'ne Me'ne te'kel na par"sin
Duh hao watu zaidi ya buku hakuna mwanajf hata mmoja? Maana hii ndo kama sample ya waTz.Kwenye kujadili issue ya corona sipendi sana kutumia neno lockdown kwa sababu wabongo wengi hawaelewi maana yake. Mbongo yoyote lockdown maana yake ni raia kuzuiwa kutoka nje na wakae ndani tu. Ndiyo maana kuna mjinga mmoja alifanikiwa sana kulitumia hili neno kuwadanganya. Tanzania siku za mwanzoni corona ilipoingia kuna mkuu wa mkoa mmoja mpumbavu alikuwa anatoa hotuba za kuudharau ugonjwa na kusema ni -kakirusi na watu wasiogope. Kama hiyo haitoshi akaja mjinga mwingine akahimiza watu wakusanyike kwenye nyumba za ibada kusali eti kuzuia corona. Haya mambo mawili tu yalichangia sana kuenea kwa korona na watu wengi wakafariki. Yes, wamefariki wengi wanazidi 1000 japo mambo yaliofichwa. Mbona Kenya na Uganda waliweza kuzuia vifo vingi kama vya kwetu? Sasa kama wewe unaona mambo yalienda vizuri, well, ni uamuzi wako lakini kunako uzima kuna siku utajua ukweli.
Wewe ni lijinga huelewi kitu. Kufa lazima watu wafe! Ujinga wako ni kuamini korona unaweza kuizuia kwa njia hizo fake za wachina.Kwenye kujadili issue ya corona sipendi sana kutumia neno lockdown kwa sababu wabongo wengi hawaelewi maana yake. Mbongo yoyote lockdown maana yake ni raia kuzuiwa kutoka nje na wakae ndani tu. Ndiyo maana kuna mjinga mmoja alifanikiwa sana kulitumia hili neno kuwadanganya. Tanzania siku za mwanzoni corona ilipoingia kuna mkuu wa mkoa mmoja mpumbavu alikuwa anatoa hotuba za kuudharau ugonjwa na kusema ni -kakirusi na watu wasiogope. Kama hiyo haitoshi akaja mjinga mwingine akahimiza watu wakusanyike kwenye nyumba za ibada kusali eti kuzuia corona. Haya mambo mawili tu yalichangia sana kuenea kwa korona na watu wengi wakafariki. Yes, wamefariki wengi wanazidi 1000 japo mambo yaliofichwa. Mbona Kenya na Uganda waliweza kuzuia vifo vingi kama vya kwetu? Sasa kama wewe unaona mambo yalienda vizuri, well, ni uamuzi wako lakini kunako uzima kuna siku utajua ukweli.
Visingizio ili utorokeLa kizushi
Jr[emoji769]
Kiyunani
Jr[emoji769]