Mene.. Tekeli.. Peresi...

Kwamba?😇😇😇😇😇😇
 
Kwenye corona: Mungu ni kitu gani? Yani italia na Saudia kulipoanzia dini hajamfuatisha Mungu sembuse tz?!

Kwenye uchaguzi wa oktoba: Mungu ndio kila kitu na maandiko yananukuliwa!

Hahahaa... Hizi ni dalili za homa ya kipigo.
[emoji23][emoji23][emoji23] umeua
 
Kwamba?[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]
Namna demokrasia inavyofanya kazi
Your browser is not able to display this video.


Jr[emoji769]
 
*MENE*, Mungu ameuhesabu ufalme wako na kuukomesha.
*TEKELI*,umepimwa katika mizani nawe umeonekana kuwa umepunguka.
*PERESI*, ufalme wako umegawanyika, nao wamepewa Wamedi na Waajemi.

Jr[emoji769]
Me'ne Me'ne te'kel na par"sin
Hii ni Marekani 👍😀😀
 
Hahahhaha.. Hadi oktoba mbona mtasoma bible yote.
 
Haya ni mapokeo tu,lakini haikutokea kama hivyo bali ni siasa za akina sanwel,
Waamed hawakulenga babel tu,,walijipanua kote mpaka asia,hicho kisa ni cha kubuni.
Kweli... Mambo ya juma na uledi hayo
 
Hahahhaha.. Hadi oktoba mbona mtasoma bible yote.
Kusoma Bible yote sio jambo la miezi 3 inahitaji miaka minne kamili kuweza kuisoma yote katika uhalisia wake....
Kwahiyo unapoandika jaribu kuandika kitu chenye mantiki na uhalisia.. Usiandike tu kuongeza replies... NI UJUHA

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…