CCM "Mene Mene Tekeli na Peresi" ....?! - JamiiForumsHuu naona kwamba ni ufalme uliofitinika kama wa mfalme Nebuchadrees ambapo baada ya kujisifu sana na kufanya makufuru mengi, Mungu alimuonya kwa kiganja cha mkono kilichoandika maneno hayo hapo juu yakiwa na maana kuwa
Ufalme wako umepimwa nao umeonekana kwamba umepungua.
Asomaye na afahamu
Katibu Mkuu ametekenya issues ya Korosho pigia mstari wananchi pamoja na wafanyabiashara kuzingua na kisha walipoona HE JPM hatanii kuhusu kuzinunuaKwa siku kadhaa tumeshuhudia vita inayoendelea toka kwa Dr. Bashiru Ally ambaye ni katibu mkuu wa chama tawala. Kimantiki nimeona kwamba haikuwa sahihi kwa doctor ambaye naamini amejaa weledi wa hali ya juu ingawa sasa naanza kupata mashaka na weledi huu.
Huu naona kwamba ni ufalme uliofitinika kama wa mfalme Nebuchadrees ambapo baada ya kujisifu sana na kufanya makufuru mengi, Mungu alimuonya kwa kiganja cha mkono kilichoandika maneno hayo hapo juu yakiwa na maana kuwa
Ufalme wako umepimwa nao umeonekana kwamba umepungua.
Baada ya tukio hili mfalme alihamishwa na Mungu akiwa kama mnyama akaishi porini kwa miaka saba akila majani kama ng'ombe.
Kama chama hakijafitinika basi Dr angetafuta namba ya simu ya Membe kama kweli yeye hana na busara kidogo tu hapa ingetumika wangeyamaliza kimyakimya huko chumbani.
Let's be alert lakini hii vita sio ya kitoto.
Asomaye na afahamu
Ifike kipind tutofautishe story za kiyahudi na maisha yetu haya ya bora liendeCCM "Mene Mene Tekeli na Peresi" ....?! - JamiiForums
Je, kesho ndio siku "Mene Mene Tekeli na Peresi!" ya CCM? - JamiiForums
Safari bado; Mene mene tekele na peresi - JamiiForums
Viongozi wa kisiasa kumbeukeni maneno haya; Mene, mene, tekeli, na peresi - JamiiForums
Mene Mene Tekeli Peresi ya Magufuli - JamiiForums
P.
Anasema ugeni ttzoBarnard Membe anasemaje kwani?
Sio mfalme Nebukadreza alikuwa ni mfalme Belshaza ambaye alitumia vyombo Vya hekaluni ambavyo viliwekwa kwa ajili ya makuhani!Kwa siku kadhaa tumeshuhudia vita inayoendelea toka kwa Dr. Bashiru Ally ambaye ni katibu mkuu wa chama tawala. Kimantiki nimeona kwamba haikuwa sahihi kwa doctor ambaye naamini amejaa weledi wa hali ya juu ingawa sasa naanza kupata mashaka na weledi huu.
Huu naona kwamba ni ufalme uliofitinika kama wa mfalme Nebuchadrees ambapo baada ya kujisifu sana na kufanya makufuru mengi, Mungu alimuonya kwa kiganja cha mkono kilichoandika maneno hayo hapo juu yakiwa na maana kuwa
Ufalme wako umepimwa nao umeonekana kwamba umepungua.
Baada ya tukio hili mfalme alihamishwa na Mungu akiwa kama mnyama akaishi porini kwa miaka saba akila majani kama ng'ombe.
Kama chama hakijafitinika basi Dr angetafuta namba ya simu ya Membe kama kweli yeye hana na busara kidogo tu hapa ingetumika wangeyamaliza kimyakimya huko chumbani.
Let's be alert lakini hii vita sio ya kitoto.
Asomaye na afahamu
Ooooooooh asante sana mtumishi kwa kunisahihisha nimechanganya wahusika ingawa ni kama matukio yao yanafananaSio mfalme Nebukadreza alikuwa ni mfalme Belshaza ambaye alitumia vyombo Vya hekaluni ambavyo viliwekwa kwa ajili ya makuhani!
Ifike kipindi tutofautishe tabia za kishirikiana za tabia za baadhi ya watu wa maziwa makuu na maisha yetu haya ya bora liendeIfike kipind tutofautishe story za kiyahudi na maisha yetu haya ya bora liende
Ndio ninachofikiria piaKatibu Mkuu ametekenya issues ya Korosho pigia mstari wananchi pamoja na wafanyabiashara kuzingua na kisha walipoona HE JPM hatanii kuhusu kuzinunua
HAIWEZEKANI UJASIRI ULE ULIKUWA TRIGGERED na technical men
Jiwe limerushwa na katibu Mkuu waliomo kichakani watatoka wote kisha rungu moja moja kichwani
Ok mkuu,Ooooooooh asante sana mtumishi kwa kunisahihisha nimechanganya wahusika ingawa ni kama matukio yao yanafanana
Fyeka mbali wauaji Bashite,, fyeka mbali watekaji Jiwe, fyeka mbali wakatili CCM, fyeka mbali wanaorusha risasi Kwa kushindwa kujibu hoja, 2020 twende na MembeeeKatibu Mkuu ametekenya issues ya Korosho pigia mstari wananchi pamoja na wafanyabiashara kuzingua na kisha walipoona HE JPM hatanii kuhusu kuzinunua
HAIWEZEKANI UJASIRI ULE ULIKUWA TRIGGERED na technical men
Jiwe limerushwa na katibu Mkuu waliomo kichakani watatoka wote kisha rungu moja moja kichwani
Mbaya zaidi hiyo ni story yenye kina kirefu mno haikuanzia hapo Babel wala haikuishia hapo,ilifanya kupita tu.Theolojia ni ngumu mno kwa kizazi asi.Ifike kipind tutofautishe story za kiyahudi na maisha yetu haya ya bora liende