Mende!! Mende!!

I love them mendez, thats why mimi na toilet ni marafiki wa karibu.

Najua kuna mijitu itasoma katikati ya mistari hapo. Wizi mtupu!
 
Siku hizi hatusomi btn the lines.....tunasoma btn the characters....
Mende Safeeeeeeeeeeeeeeeewey
 
hawa waDUDU mende sijui kama wanaletamaradhi, ila hayo maDUDU mengine yanaleta maradhi mabaya sana hasa kinga za mwili.
 
I love them mendez, thats why mimi na toilet ni marafiki wa karibu.

Najua kuna mijitu itasoma katikati ya mistari hapo. Wizi mtupu!

mhhh...............nina wathiwathi na choo chako...........
 
hawa waDUDU mende sijui kama wanaletamaradhi, ila hayo maDUDU mengine yanaleta maradhi mabaya sana hasa kinga za mwili.

wadudu wanakera....umeshawahi kupewa maji ya kunywa kwenye glass inanuka mende wewe?!?!?!?
madudu nayo ni noumerrrrrr..........
 
Pole kwa tatizo hilo. kwa ushauri wangu, jaribu kutumia dawa zilizo katika mfumo wa unga ( powder) kama vile DOOM POWDER , n.k.
 
ok. nitaitafuta...sijui hata naanzia wapi kuitafuta! asante sana Bwamdogo:yo:
 
Last edited by a moderator:

nyunyiza mkojo wa paka nyumba nzima mende watahama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…