Mende!! Mende!!

Mende!! Mende!!

Paloma

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2008
Posts
5,331
Reaction score
4,956
wabwanga na wandee ja JF, heshima kwenu!!!

kuna kitu kinanikera jabu mwenzenu - mende!!! MENDE!!
Naombeni kujua ni dawa gani inaangamiza mende!!! nashukuru mungu nyumbani kwangu hakuna mende lakini ofisini hakuishi mende!!! nahisi nitawabeba na kuwapeleka nyumbani soon!! fumigation inafanyanyika lakini after some days - not even a week- mende utafikiri wametotoleshwa!!! aibu sana! unakuta mko kwenye meeting ghafla kimende kinajipitisha hapo mezani!!! ......hata sijui nishangaaje...
kuna watu pia nimeshawasikia wanalalamika huko majumbani kwao kuwa kuna "vijifactory" vya mende!!! najiuliza ni kuwa madawa ya fumigation yanachakachuliwa? au hayachanganywi vizuri? au mende wameshazoea dawa? au ni uchafu tuu wa mazingira? au ni nini jamani??
Mtambuzi hivi hapo kwenu mnazuiaje mende??? Madame B na mjeda wako (aitwa nani vile...) mnauaje mende? watu8 Asprin Kaizer amu Remmy Kipaji Halisi KakaKiiza figganigga sosoliso saudari Bujibuji charminglady King'asti............ Bishanga Jiwe Linaloishi Mamndenyi Vin Diesel KOKUTONA YNNAH mwaJ
mchango wenu katika kuangamiza mende unahitakija hapa
 
wenye kujua jinsi ya ku deal na hawa wadudu tafadhali sana jitokezeni mtueleze maana na mimi home kwangu ni balaa mpaka aibu, nshajaribu sumu na njia nyingi kuwateketeza mende, watakufa kwa wingi halafu baada ya muda wanazaliwa wengine kwa wingi, yaani nishachoka!
 
Nyie mtakuwa mnakula vyakula maofisini na mjaribu kuchunguza mikoba yenu nyie wadada maana mikoba ya wanawake ni mazalia mazuri mende.....

Jaribuni kampuni ya RENTOKIL

hawa wameshashindwa. unajua nini mie kwangu hakuna mende!! kabisa! ninahofu ya kuwapeleka nyumbani sasa! maana wanapitapita hao unaweza shangaa kamekupandia mguuni.................
 
wenye kujua jinsi ya ku deal na hawa wadudu tafadhali sana jitokezeni mtueleze maana na mimi home kwangu ni balaa mpaka aibu, nshajaribu sumu na njia nyingi kuwateketeza mende, watakufa kwa wingi halafu baada ya muda wanazaliwa wengine kwa wingi, yaani nishachoka!

hili ni janga aisee
 
Pole kaka, hao hata mimi niliwahi kuwahamishia kwangu kutoka kazini, nikawamaliza na DIOZON. sijui kama nimepatia jina lake, nilinunua pale mwenge kwenye maduka ya dawa zamifugo.....
 
Mende unayemzungumzia ni mende huyu ninayemjua mimi au mende...............!!????
 
dudu la kifedhuli hili.....silipendi kama nini........
cc😡Judgement.......
 
Viumbe wa Mungu hao....wewe unataka kuwaua....wewe wadhani waliumbwa bahati mbaya....
 
Tumia Rungu, wakati unafunga ofisi puliza dawa ya kutosha hadi kwenye penyo zote kesho yake ukija utakuta kibao wamekufa na wengine wataendelea kufa kadri ya siku zinavyokwenda.
Ushuhuda: mimi nimeanza kazi mwaka jana nilipewa nyumba ambayo ilikuwa na mende kibao kabla ya kudeki nilipuliza dawa kila kona nikaacha kama siku tatu hivi mende wote wameisha na sasa naishi kwa raha zangu. Dawa si lazima rungu ila spray yeyote inafaa ingawa mimi natumia mara nyingi na Hatari
 
wabwanga na wandee ja JF, heshima kwenu!!!

kuna kitu kinanikera jabu mwenzenu - mende!!! MENDE!!
Naombeni kujua ni dawa gani inaangamiza mende!!! nashukuru mungu nyumbani kwangu hakuna mende lakini ofisini hakuishi mende!!! nahisi nitawabeba na kuwapeleka nyumbani soon!! fumigation inafanyanyika lakini after some days - not even a week- mende utafikiri wametotoleshwa!!! aibu sana! unakuta mko kwenye meeting ghafla kimende kinajipitisha hapo mezani!!! ......hata sijui nishangaaje...
kuna watu pia nimeshawasikia wanalalamika huko majumbani kwao kuwa kuna "vijifactory" vya mende!!! najiuliza ni kuwa madawa ya fumigation yanachakachuliwa? au hayachanganywi vizuri? au mende wameshazoea dawa? au ni uchafu tuu wa mazingira? au ni nini jamani??
Mtambuzi hivi hapo kwenu mnazuiaje mende??? Madame B na mjeda wako (aitwa nani vile...) mnauaje mende? watu8 Asprin Kaizer amu Remmy Kipaji Halisi KakaKiiza figganigga sosoliso saudari Bujibuji charminglady King'asti............ Bishanga Jiwe Linaloishi Mamndenyi Vin Diesel KOKUTONA YNNAH mwaJ
mchango wenu katika kuangamiza mende unahitakija hapa

Fuga mijusi
 
Back
Top Bottom