K Kwayu Platinum Member Joined Nov 8, 2007 Posts 511 Reaction score 108 Apr 25, 2013 #1 Habarini wapendwa. Nataka kununua Mende scania 114 ya kibebea michanga. Je inalipa. Naombeni ushauri wenu ili nijue la kufanya.
Habarini wapendwa. Nataka kununua Mende scania 114 ya kibebea michanga. Je inalipa. Naombeni ushauri wenu ili nijue la kufanya.
lane JF-Expert Member Joined Jan 17, 2013 Posts 909 Reaction score 514 Apr 25, 2013 #2 mi nikajua hawa mende wa ukweli aka coakroaches, duh nilifikiri nshapata dili kwani hao wamejaa tel tele
mi nikajua hawa mende wa ukweli aka coakroaches, duh nilifikiri nshapata dili kwani hao wamejaa tel tele
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,811 Reaction score 11,031 Apr 25, 2013 #3 lane said: mi nikajua hawa mende wa ukweli aka coakroaches, duh nilifikiri nshapata dili kwani hao wamejaa tel tele Click to expand... mi pia nilijua jamaa labda anafanya utafiti anahitaji tumkusanyie mende 114 daah kumbe gari!!
lane said: mi nikajua hawa mende wa ukweli aka coakroaches, duh nilifikiri nshapata dili kwani hao wamejaa tel tele Click to expand... mi pia nilijua jamaa labda anafanya utafiti anahitaji tumkusanyie mende 114 daah kumbe gari!!
M Manhunt JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 218 Reaction score 26 Apr 25, 2013 #4 Inategemea mkoa ganiunaishi ili uweze kujua kama linafaa kutumia au lah, mikoa ingine hiyo gari haifai maana ni nzito sana, ingekuwa ni vyema utaje mkoa mwenye uelewa na mkoa husika akusaidie
Inategemea mkoa ganiunaishi ili uweze kujua kama linafaa kutumia au lah, mikoa ingine hiyo gari haifai maana ni nzito sana, ingekuwa ni vyema utaje mkoa mwenye uelewa na mkoa husika akusaidie
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Apr 25, 2013 #5 nunua scania 113 dabo difu la mizigo,,,,hilo ndio linalipa mdau.