Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
Vifo vyenu nyinyi mameneja wa bar huwa atuuliza sababu za kifo.Jamani kwa mara ya kwanza nimekuwa menager toka leo, naomba mnipongeze. Kumbe umenager auitaji madigree elimu yangu ya darasa la saba leo nawaongoza watu.
Karibuni sana, nimekuwa manager wa Bar ya .... Sasa hapa nakitafuta kitambi tu.
Kama full meneja la 7, naibu meneja atakua la ngapi ?
hongera sana. utakua unajichagulia mabarmaid. mia
Vifo vyenu nyinyi mameneja wa bar huwa atuuliza sababu za kifo.
Hahahahahahahahaha
umenichekesha sana asiye kuwepo humu jf kwakweli ana kosa mengi, kwakweli jf ina vimbwanga kila sehemu!